herman joshua
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 1,967
- 3,212
mwaitege unamjua...?Hizo nyimbo zake zote ulizotaja sizifahamu...japo nasikia ni mwanamziki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mwaitege unamjua...?Hizo nyimbo zake zote ulizotaja sizifahamu...japo nasikia ni mwanamziki
hata wachungaji wanazipenda we utakuwa nani..?Hata mimi, maybe kwakuwa sikubali aina ya uimbaji wake.
Kwahiyo unalazimiasha wote tumkubali? Kwani wao nani?hata wachungaji wanazipenda we utakuwa nani..?
Rose muhando unamjua..?
Did i say ni lazima?sio lazma uzipende wewe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani lazima uzi uwekwe audio au video ili kujua nyimbo zake?acha ushamba!!!
Halafu nani kaandika nimezijua nyimbo zake zote??mammmmmmae zako
Acha kukurupuka wewe!!pumbavu!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimefurahi tu mimi jamani.Nini sasa?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo unalazimiasha wote tumkubali? Kwani wao nani?
Wamekariri mpaka iwe NigeriaHivi kuna nchi ukikubalika ndio anakuwa international na kuna nchi hata ukubalike bado anakuwa local?
Mfano Mbosso anafanya shows Comoro, Mombassa, Madagascar, Mayotte, Oman nk hizo nchi ni za kitaifa bado hatuwezi ziita international?
Una ugonjwa wa akili unaosababishwa na kukosa bwana sababu hauna mvuto.Kwani lazima uzi uwekwe audio au video ili kujua nyimbo zake?acha ushamba!!!
Halafu nani kaandika nimezijua nyimbo zake zote??mammmmmmae zako
Acha kukurupuka wewe!!pumbavu!!!!
Una ugonjwa wa akili unaosababishwa na kukosa bwana sababu hauna mvuto.
Pole kwa sura mbaya!
unamfahamu mwaitege...?Kwahiyo unalazimiasha wote tumkubali? Kwani wao nani?
Simfahamu.unamfahamu mwaitege...?
we unamfahamu nani...?Simfahamu.
Anzisha na wewe mkataba wako mzuriKama na yeye alisign mkataba wa miaka 15 basi amekwisha. Wcb wana mikataba mibaya, unammiliki vipi mtu for 15years.
Thank you
[/QUOTE
Umemjibu kistaharabu japo kaongea shit
Msanii mwenye akili una sign mkataba miaka 5 tu, mmoja wa kukufua,kukupika na kukutengeneza kuwa na muonekano wa kisanii,mwaka wa 2 unakuwa introduced kwenye game, miaka3 iliyobakia unatoa mangoma makali unakuwa msanii mkubwa mnarudi mezani MNA sign mkataba wa kukufanya kuw tajiri sasa yaani mkataba wenye maslahiKama na yeye alisign mkataba wa miaka 15 basi amekwisha. Wcb wana mikataba mibaya, unammiliki vipi mtu for 15years.
hivi unajua kama mbosso mziki ulishamshinda baada ya kuvunjika kwa yamoto band? Mbn mnapenda kuwajaza ujinga hawa watoto? Ebu mwache atengeneze maisha pale WCB bana msitake mumjaze ujinga hlf yamkute yalomkuta rich mavokoMbosso akijitegemea angekua mbali zaidi. Nyumba yake binafsi na gari kali zaidi. Sio ile Lexus ya mkopo kutoka WCB
Sent using Jamii Forums mobile app