Miaka miwili ya Mbosso ndani ya WCB

Miaka miwili ya Mbosso ndani ya WCB

mkuu mbona kama sio kweli..

nachojua mimi kazi ya sanaa mara nyingi inabebwa na fani yake na wala sio maudhui.. wimbo hata kama ungeimbwa kuzungu, kikongo, ki nigeria nk ila kama umepangiliwa kwenye fani hakika uta hit tu..
mfano mzuri kuna ngoma zimewahi ku hit hapa bongo zikiwa hata hazieleweki maana yake, mfano adumba..

na kusema diamond kwavile anachanganya kizungu ndio maana nyimbo zina hit sina hakika kama ni kweli. naomba uniambie nyimbo kama inama, mdogomdogo, sikomi, iyena, salome, tampata wapi, baba lao, kanyaga, kwangwaru, tetema nk , zote hizo zimeibwa kizungu au kiswahili.. LIKE Niku ADD,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka-blaza,

Hizo baba lao, kwangwaru and staff like that zimekuja BAADA ya kutoka zile audio zenye mashairi ya kizungu kidogo kama my number one na kushirikiana na international artists.
 
hivi unajua kama mbosso mziki ulishamshinda baada ya kuvunjika kwa yamoto band? Mbn mnapenda kuwajaza ujinga hawa watoto? Ebu mwache atengeneze maisha pale WCB bana msitake mumjaze ujinga hlf yamkute yalomkuta rich mavoko
sio yaliyomkuta barozi wa sayona?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka-blaza,
Zilihit wapi hizo ngoma? Ktk hizo hakuna hata moja iliyowahi kuhit international na kuwa nominated tuzo kubwa
 
Zilihit wapi hizo ngoma? Ktk hizo hakuna hata moja iliyowahi kuhit international na kuwa nominated tuzo kubwa
Mdogodogo, je utanipenda zilikuwa nominated kwenye tuzo za Sound city ya south Africa, Inama ilikuwa Afrima, sikomi ilikuwa nominated kwenye tuzo ya euasa ya Marekani, Tetema ilikuwa nominated tuzo ya AFRIMMA.Kanyaga na baba lao ndo sijaona zikiwa nominated labda ziwe mwaka Huu maana zilitoka mwaka Jana.
 
Umeongea point sana Mkuu Wewe Unaujua Mziki,.

wewe siyo Shabiki uchwara kama mtoa post
Tukubali tukatae, mbosso hayupo ki international yeye anafit kwenye soko la local pekee na mwenzake lavalava. Inshort wasanii wa wcb waliokuwa kiinternational ni harmonize na rayvanny tu bas. So kama ni karata ya kimataifa basi lavalava na mbosso ni magarasa when it comes to business.
 
Naona PR imepewa onyo kdogo so imeamua kufanya sasa kaz
 
Mdogodogo, je utanipenda zilikuwa nominated kwenye tuzo za Sound city ya south Africa, Inama ilikuwa Afrima, sikomi ilikuwa nominated kwenye tuzo ya euasa ya Marekani, Tetema ilikuwa nominated tuzo ya AFRIMMA.Kanyaga na baba lao ndo sijaona zikiwa nominated labda ziwe mwaka Huu maana zilitoka mwaka Jana.
Ipi iliyochukua Tuzo hapo? Kwenye Msafara wa mamba na Kenge Wako hizo ngoma ni kama kenge,.

Dimpoz ngoma alitoa ngoma mbili tu akaibuka na tuzo,.
 
Ipi iliyochukua Tuzo hapo? Kwenye Msafara wa mamba na Kenge Wako hizo ngoma ni kama kenge,.

Dimpoz ngoma alitoa ngoma mbili tu akaibuka na tuzo,.
Kwa kweli umeingilia mada ambayo uelewi na sijui Kama umesoma vizuri swali la aliyeniuliuza.Tukiachana Hilo ukizungumzia masuala ya tuzo hakuna msanii yoyote wa East Africa alishinda tuzo hata kufika nusu tu ya tuzo alizoshinda mondi Hadi sasa mondi ana tuzo si chini ya 100.
 
Back
Top Bottom