Miaka sita kamili ndani ya JamiiForums. Happy joining day 19th August 2012

Ulitenda kwa weledi
 
Mimi ni binadamu kama wengine si mkamilifu ninaposherehekea miaka sita ndani ya Jamii Forum nachukua nafasi hii kuomba radhi kwa yoyote yule ambaye kwa namna moja ama nyingine alikwazika na maandishi na mitazamo yangu [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…