Miaka sita kamili ndani ya JamiiForums. Happy joining day 19th August 2012

Asante
1.........
2.nilishawahi kupigwa ban mara tatu
. ya kwanza nilipost picha iliyosemekana kuwa na maudhui ya kuhamasisha ushoga
. ilikuwa BAN ya uonevu.. Nilipost chitchat kwa heading... Nisipopigwa ban leo Sijui...! Nikaambiwa nimeomba ban mwenyewe
. Kuna member alikuwa ananisakama sana kwa chochote nitakachopost ni kibibi fulani hivi.. Nilikuwa sijibu... Uvumilivu uliponishinda nikamtolea uvivu... Akarepoti nikapigwa ban ya wiki...
3. Madhara hasi yalikuwa mengi mwanzoni kuna watu hawakufurahishwa na jinsi nilivyokuwa napost kila mara... Nikapata haters wengi but wengi on purpose na niliwashughulikia vizuri sana


Jr[emoji769]
 
Sawa..
1....

Ni jibu madhara chanya mkuu au ni kama namba 1 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Happy joining day mwenyekiti wa mtaa wa gamboshi
 
Pamoja na kukupa Hongera kwa kutimiza miaka sita, umewahi kula Ban ngapi kwa utovu wa nidhamu?
 
Sawa..
1....

Ni jibu madhara chanya mkuu au ni kama namba 1 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ningeweza kubadili mitazamo ya watu kuhusu dhana nzima ya uchawi na ushirikina... Nimewaokoa wengi toka ulimwengu wa giza... Kikubwa kuliko yote nimeweza kwa kiwango kikubwa mno kutetea imani yangu Juu ya Mungu

Jr[emoji769]
 
Ningeweza kubadili mitazamo ya watu kuhusu dhana nzima ya uchawi na ushirikina... Nimewaokoa wengi toka ulimwengu wa giza... Kikubwa kuliko yote nimeweza kwa kiwango kikubwa mno kutetea imani yangu Juu ya Mungu

Jr[emoji769]
Mkuu hongera sana Kwa majibu yaliyotukuka kiukweli nimetosheka Kwa majibu hayo, so sina doubt yoyote ile...

Ila pole Kwa ban na misukosuko uliyokutana nayo..

Kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu kama wale ni katika lile kundi la wapuuzi sometimes ni kuwa ignore wazidi kuumia...but from you alipata alichostahili
Kuna watu wa aina hiyo wengi humu. Mkipishana mawazo hasa jukwaa la siasa, atakuwinda ili akutukane na kukudhalilisha. Pale ndiyo huwa siogopi bans wala maandazi. Kuna siku nilitaka kuandika neno "hallucinations" lakini likajitype neno lingine. Mtu akapata pa kunitukana. Nilimjibu kwa hekima na tahadhari lakini hakutosheka. Nilimvumilia tu. Nashukuru nilikuwa sijatoa nishai kidogo. Ningeharibu. Lord have mercy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…