Miaka Tisa (9) ndani ya JF: Kumbukizi nilivyojiunga na kuishi JF nikiwa kama Mwanafunzi wa Sekondari

Aisee kumbe sisi wengine ni watu WAZIMA sanaa
Kumbe vijana wadogo mpo wengi Sanaa na wajifunze kuheshimu wakubwa.

Hongeraaaa sanaa mkuu kwa kuishi Jf muda wa miaka 9.

All the Best.
Ahsante sana mkuu , heshima muhimu ndio maana miaka yote nimejitahidi kuishi kwa kumuheshimu kila mtu na kuepuka bifu na ugomvi.
 
Huyo HR666 nakumbuka alikuwa na fujo sana Zamani na alikuwa kama Muhuni wa JF haogopi kitu yaani mtu akijivagaa matusi na lugha chafu dakika mbili tu bila kuremba.
Hahaha alikuwa mizinguo sana, nakumbuka mods waliunganisha accounts zake zilikuwa zinajiongelesha
 
The GunMan mwenyewe πŸ€πŸ™Œ
 
Ndy maana sikuhz sicomment sana labda nione mkongwe wa jf kaandika kitu.
 
Kazi ya Rostam azizi ki ....
 
Sasa nimeelewa kwa nini huwa una kaujinga fulani hivi
 
2015 ulikua form three!!!!! Kweli mbwa mm ni mtu mzima nitafute hela hizi Jf ni kujichoresha na madogo.
Duuh,2015 ndio nilimaliza standard seven.
Niliijua Jf 2017 nikiwa form two,then nikajiunga rasmi 2023
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…