Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo safina ikaenda kutua mlima Ararat, mbali kabisa na huko Ur?Hizi stories za adam na Eva ni vigano na visassili vya wa Sumerian vilivyokuwa vikisimuliwa na mtawala mbabe wa dunia, ndugu yangu na rafiki yangu Gilgamesh
Hata hivyo mafuliko tanayoongelewa kwenye kitabu hicho kitakatifu, ni mafuliko yaliyotokea katika nchi aliyokuwa akiitawala Gilgamesh ikijumuisha mji wa UR inasadikika alikotoka Ibrahim.
Kuna mito miwili Tigris na Euphrates inaingia kwenye Persian Gulf, mvua kubwa ilinyesha na kuleta maafa maeneo ya Ur na miji ya karibu.
View attachment 2030014
Miaka 2 m umepata wapi wakati modern human kulingana na evolution alitikea miaka laki mbili iliyopita?Adam hakuwa binadamu wa kwanza kuishi duniani,hizi habari sijuwi mnazitoa wapi na mnazisambaza kwa malengo gani.
Hakuna ushahidi wa kihistoria ya kuwa Adam alikuwa binadamu wa kwanza kuishi.
Wakati huyo Adam anaishi miaka 3000-4000bc iliyopita huku Africa Jamii ya Homo ilishaishi miaka million 2-3 iliyopita na walishasambaa hadi maeneo ya mbali sana.
Safina ipi!? Ile ya kuingiza fisi, tembo, twiga, swala, mchwa, inzi, sisimizi, simba, nk. Lakini size yake sasa.Ndiyo safina ikaenda kutua mlima Ararat, mbali kabisa na huko Ur?
Inaonekana ni dunia nzima. Kuhusu upinde wa mvua, inaonekana kabla ya Noah mvua ilikuwa hainyeshi, bible inasema ardhi ilinyeshwa kwa umande. Na ndiyo sababu watu walishindwa kumuamini Noah. So upinde ukaanza kuonekana baada ya mvua kuanza.Kwa hiyo mkuu ile gharika huku kwetu bongo hazikufika?
Vipi kuhusu upinde wa mvua mwanzo wake si ulikua baada ya hio gharika, mbona na sisi tunauona huo huo upinde.
Venus Star
Ok kama huiamini biblia ambayo ndiyo msingi wa mada hii, mada hii haitakufaa.Safina ipi!? Ile ya kuingiza fisi, tembo, twiga, swala, mchwa, inzi, sisimizi, simba, nk. Lakini size yake sasa.
Achana na visassili hivyo. Nuhu hakuwahi kuweka wanyama kwenye ngalawa.
View attachment 2030040
Mzee upinde wa mvua haujaletwa na matokeo ya gharika. Hiyo ni pure science Mzee. Pale maji yanapoingiliana na mwanga katika angle fulani unapata rangi saba za light.Kwa hiyo mkuu ile gharika huku kwetu bongo hazikufika?
Vipi kuhusu upinde wa mvua mwanzo wake si ulikua baada ya hio gharika, mbona na sisi tunauona huo huo upinde.
Venus Star
Sasa mzee kwanini usipeleke mada hii kwenye threads za dini!? Sisi hatupo tayari kuletewa uongo tukakaa kimya.Ok kama huiamini biblia ambayo ndiyo msingi wa mada hii, mada hii haitakufaa.
Mzee kumbe unang'aka bure tu hata biblia huijui. Soma Bible Mzee achana na simuliziInaonekana ni dunia nzima. Kuhusu upinde wa mvua, inaonekana kabla ya Noah mvua ilikuwa hainyeshi, bible inasema ardhi ilinyeshwa kwa umande. Na ndiyo sababu watu walishindwa kumuamini Noah. So upinde ukaanza kuonekana baada ya mvua kuanza.
Kuna vile mafuriko haya yalisababishwa na Ice age miaka zaidi ya 12000? Kuna miji ya kale sehemu mbali chini ya bahari kama vile pande za Japan, India/Sri Lanka, Easter Islands, Egypt na sehemu nyingine.Hizi stories za adam na Eva ni vigano na visassili vya wa Sumerian vilivyokuwa vikisimuliwa na mtawala mbabe wa dunia, ndugu yangu na rafiki yangu Gilgamesh
Hata hivyo mafuliko yanayoongelewa kwenye kitabu hicho kitakatifu, ni mafuliko yaliyotokea katika nchi aliyokuwa akiitawala Gilgamesh ikijumuisha mji wa UR inasadikika alikotoka Ibrahim.
Kuna mito miwili Tigris na Euphrates inaingia kwenye Persian Gulf, mvua kubwa ilinyesha na kuleta maafa maeneo ya Ur na miji ya karibu.
View attachment 2030014
Hadithi za biblia zinatokana na simulizi za Sumeria na Misri. There's nothing original about the Bible.Mzee kumbe unang'aka bure tu hata biblia huijui. Soma Bible Mzee achana na simulizi
5 hapakuwa na mche wa kondeni bado, wala mboga ya kondeni haijachipuka bado, kwa maana Bwana Mungu hajainyeshea nchi mvua, wala hapana mtu wa kuilima ardhi;
Mwanzo 2:5
6 ukungu ukapanda katika nchi, ukatia maji juu ya uso wote wa ardhi.
Mwanzo 2:6
Kwa biblia Dunia haizidi miaka 6000. Kwa uhalisia Dunia ni zaidi ya miaki bilioni 4.5 na binadamu amekuwa muda huo wote ila maafa Kwa njia ya mafuriko, Asteroids, Alien invasion na mengine mengi yamekuwa yakitokea na yataendelea kutokea. We are not the first technologically advanced civilization and neither are we the last.Ngano za Sumerian, Assyrian na Babylon hizo hazina uhalisia wowote Zaidi ya hekaya za kiabunuwasi!