Miaka, toka kuumbwa kwa adamu hadi kufa kwa Abrahamu. Umeona nini?

Miaka, toka kuumbwa kwa adamu hadi kufa kwa Abrahamu. Umeona nini?

Kwahiyo unakubaliana na suala la Nuhu kuweka wanyama wote ndani ya safina!? Mbona issue hii ni simple tu haihitaji rocket science!?

Maana yake Nuhu aliweka wanyama kwenye safina pamoja na chakula cha chao cha kula siku zote hizo mpaka maji yalipokauka.

Kumbuka baada ya gharika, Nuhu alichinja kondoo, maana yake wanyama walikuwa wanazaliana ndani ya safina.

Use common senses kijana. Acha kulishwa matango pori.
Yap, naamini hivyo. Ukisema uliscrutinize kisayansi utaona halimake sense.
 
Mzee upinde wa mvua haujaletwa na matokeo ya gharika. Hiyo ni pure science Mzee. Pale maji yanapoingiliana na mwanga katika angle fulani unapata rangi saba za light.

Mzee hiyo ni practical unaweza kuifanya kwenye maabara. Watoto na watu wasio na elimu ya sayansi unaweza kuwadanganya kuhusu upinde wa mvua kuwa ni agano.
Huwezi ona upinde wa mvua usiku.
Je kwenye mwezi usiku huwa muda mwingine inatokea
 
Ukiyachunguza vyema maandiko matakatifu, hasa simulizi kutoka Kitabu cha Mwanzo kama vile kilivyoandikwa na Nabii Musa, hakuna maelezo yoyote yale kuhusu historia ya kuumbwa kwa sayari ya dunia. Bali kimeanza na simulizi kuhusu kazi ya Mungu ya kutengeneza mazingira ambayo yatakuwa ni makazi ya kudumu kwa viumbe ambavyo alipenda kuviumba kwa utashi wake Yeye mwenyewe.

Nukuu ya maandiko hayo hutupa mazingira ya aina tatu ambayo Mungu aliyafanya. Kwa kuwa dunia ilikuwepo kabla ya uumbaji wa mwanadamu, nayo dunia ilikuwa imezingirwa na sura ya maji, basi Mungu aliyatenga maji hayo ili ikapate kuwepo kwa eneo nchi kavu. Eneo la nchi kavu na maji na eneo la juu akaliita mbingu ambapo aliweka jua na mwezi kwa ajili ya kuwepo kwa usiku na mchana pamoja na majira tofauti ya mwaka.

Kwa hiyo basi maandiko matakatifu hayazungumzii kabisa kuhusu mwanzo halisi wa sayari yetu, "solar system" ama "galaxy" bali huzungumzia kuhusu mwanzo wa viumbe hai vilivyopo juu yake.

Labda ni vyema tupitie kwa pamoja nukuu ya maandiko ili tupate zaidi ufahamu na mantiki ya msimulizi kama ifuatavyo;

Kitabu cha Mwanzo

1 Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi.
2 Nayo nchi ilikuwa ukiwa, tena utupu, na giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji; Roho ya Mungu ikatulia juu ya uso wa maji.
3 Mungu akasema, Iwe nuru; ikawa nuru.
4 Mungu akaiona nuru, ya kuwa ni njema; Mungu akatenga nuru na giza.
5 Mungu akaiita nuru Mchana, na giza akaliita Usiku. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku moja.
6 Mungu akasema, Na liwe anga katikati ya maji, likayatenge maji na maji.
7 Mungu akalifanya anga, akayatenga yale maji yaliyo juu ya anga na yale maji yaliyo chini ya anga; ikawa hivyo.
8 Mungu akaliita lile anga Mbingu. Ikawa jioni ikawa asubuhi, siku ya pili.
9 Mungu akasema, Maji yaliyo chini ya mbingu na yakusanyike mahali pamoja, ili pakavu paonekane; ikawa hivyo.
10 Mungu akapaita pale pakavu Nchi; na makusanyiko ya maji akayaita Bahari; Mungu akaona ya kuwa ni vyema.

Kwa hiyo basi, hakuna ubishi wowote ule kuhusu uwepo wa uhai kabla ya Adam, kwa kuwa malaika wa nuru, shetani na malaika wengine walikuwapo kabla yake, lakini wao walikuwa na miili yenye maumbile ya kiroho, ndiyo maana makazi yao yalikuwa juu ya nchi ama mbinguni. Tofauti yao na Adam, yeye aliumbwa pia kwa roho bali mwili wake uliumbwa kupitia udongo ili aweze kuishi katika nchi kavu.

Kwa kuwa Mungu ni wa milele, basi hata hizo simulizi za mamilioni ya miaka ya uwepo wa dunia huenda zikawa ni za kweli. Lakini zinapatika kutoka katika chanzo kipi cha kuaminika cha habari?

Ni kweli kabisa pengine shetani na malaika wengine waovu waliishi katika sayari ya Mars. Lakini pale walipoasi walitupwa katika sayari yetu ya dunia, na kuwekwa chini ya nchi iliyokuwa imezungukwa na vilindi vya maji.

Na ukweli huu unapatika kuhusu simulizi za uwepo wa kuzimu. Maandiko matakatifu hituambia kuzimu ni chini ya nchi ambapo ni makazi ya muda ya malaika waovu kabla ya hukumu yao ya kutupwa Jehanamu.View attachment 2030736View attachment 2030737

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
Mars yasemekana kupigwa Kwa interplanetary ballistic missiles nyakati za kale.
 
Kwahiyo unakubaliana na suala la Nuhu kuweka wanyama wote ndani ya safina!? Mbona issue hii ni simple tu haihitaji rocket science!?

Maana yake Nuhu aliweka wanyama kwenye safina pamoja na chakula cha chao cha kula siku zote hizo mpaka maji yalipokauka.

Kumbuka baada ya gharika, Nuhu alichinja kondoo, maana yake wanyama walikuwa wanazaliana ndani ya safina.

Use common senses kijana. Acha kulishwa matango pori.
Nafikiri ilikuwa ni genetic information ya wanyama hao ili kufanya cloning 😁
 
Hizi hekaya za Annunaki ni za kitoto sana.
hekaya za kitoto kivipi wakati jamii zote za Assyrian, Sumerian, Babylon, Egyptian, Kush, Aztec, Maya, Peru, Indus valley, china Wote Wana Accient writings kuwahusu Hawa viumbe mpaka ushahidi upo ya kwamba ndio viumbe wa kwanza kuwapa ustaarabu Watu?
Kuna mpaka michoro na bronze zake zikowaonesha viumbe Hawa wakiwa kama miungu waliotoka anga za juu na kuja Duniani Kwa mission maalumu,
Nenda Kasome kuhusu
Rama setu bridge lililokatiza bahari huko Tamil Nadu to Sri Lanka lilijengwa maelfu ya Miaka BC Kwa kutumia teknolojia ya Hali ya juu sana na katika hizo hizo hekaya za kihindi zinasema walijenga Vanaras viumbe kutoka galaxies za juu huko!

Ktakuaje hekaya zifanane Kwa Kila jamii?
 
Tafuta Epic of Gilgamesh.Viongozi wa Dini za Dunia haswa Islam, Christianity na Judaism hawataki wafuasi wao wafahamu haya mambo ili wazidi kuwafyonza Kwa Hali na Mali. Je wajua Kuna nyakati mwezi haukuwa angani?
Duuu mkuu hebu gusia hiyo ya mwezi kutokua angani niongezee maarifa Aisee maana haya mambo ni makubwa Sana Kwa sisi tulio free mind tunaenda kuingiza kitu kipya Kila siku!
🙏🙏🙏
 
hekaya za kitoto kivipi wakati jamii zote za Assyrian, Sumerian, Babylon, Egyptian, Kush, Aztec, Maya, Peru, Indus valley, china Wote Wana Accient writings kuwahusu Hawa viumbe mpaka ushahidi upo ya kwamba ndio viumbe wa kwanza kuwapa ustaarabu Watu?
Kuna mpaka michoro na bronze zake zikowaonesha viumbe Hawa wakiwa kama miungu waliotoka anga za juu na kuja Duniani Kwa mission maalumu,
Nenda Kasome kuhusu
Rama setu bridge lililokatiza bahari huko Tamil Nadu to Sri Lanka lilijengwa maelfu ya Miaka BC Kwa kutumia teknolojia ya Hali ya juu sana na katika hizo hizo hekaya za kihindi zinasema walijenga Vanaras viumbe kutoka galaxies za juu huko!

Ktakuaje hekaya zifanane Kwa Kila jamii?
ndo nimejua leo haya imebidi nikajionee ase dunia ina mengi sana yasiyo na majibu bado.
 
ndo nimejua leo haya imebidi nikajionee ase dunia ina mengi sana yasiyo na majibu bado.
umeona mkuu ukiwa mvivu wa kutafuta maarifa na taarifa kuihusu Dunia yetu utashangazwa Sana na mambo yake ila ukiwa mvivu kusoma Kila kitu utaona ni kigeni na hekaya za uongo ila ukweli ni huo Dunia hapo nyuma walipata kutokea civilization yenye teknolojia ya Hali ya juu inayoacha utata Kwa kizazi hiki kuweza kung'amua!
 
Biblia si kitabu tu cha dini bali pia cha historia, sheria nk. Lakini kama vitabu vingine(vya hesabu, afya nk) unatakiwa ukiamini kwanza ndipo unaweza kwenda mbele. Usipoamini yaliyoandikwa kwenye kitabu cha afya hamuwezi anza kujadili yaliyomo.
Usifikiri hatuijui hiyo biblia hadi utufundishe! Mimi nimekuwa mfurukutwa wa dini kwa miaka zaidi ya ishirini, nimejifunza theology sana tu but I come to realize how wrong is the bible, imejaa uongo sana
 
Biblia inasema hivyo, bila shaka.
Biblia sio last say kama inavojiamnisha. Ni kitabu cha Brain washing au Mind programming...haitaki kuchunguzwa chunguzwa na waliokiandika ( sio wakina Musa na wengineo tunavoaminishwa)
Na wenye dini wakikuona una hoji hoji mambo ya Mungu kwenye kitabu unaonekana unaasi dini, unachukiwa.
Wakati huyo Mungu anasisitiza pendo la Agape..Huyo huyo Mungu kaua maelfu ya watu kwa kisingizio cha upagani.
 
Shem mtoto wa Noah kutoka kwenye safina alikufa mwaka 2158 toka Adamu kuumbwa. Hapo ni baada ya kuishi miaka 600.

Abrahamu alikufa mwaka 2183 toka Adamu. Baada ya kuishi miaka 175.

Hii inamaanisha Abrahamu na Shemu wameishi pamoja. Bila shaka Abrahamu alizijua habari za gharika toka kwa mtu aliyeishuhudia.
Mbona naonaona kuwa Abrahamu ni uzao wa Noah? Au sielewi hiyo geneology?

Vv
 
Inaonyesha Eber(eberi)ndiye alikuwa wa mwisho kuishi miaka ya kuanzia 400. Inasemekana huyu ndiko jina ebrania limetoka.

Jina la Ebrania ni jina alilopewa ibrahim na wenyeji wa canann na sio eber,
kwa mara ya kwanza limeonekana kwenye kitabu cha mwanzo 14:13, likiwa na maana aliyevuka kutoka ng'ambo
 
Back
Top Bottom