Ngoja nikwambie kitu kimoja ambacho labda hukijui
Wakati Dunia inatembelewa na viumbe kutoka anga za juu,Yaani alien invasion wakuitwa ANNUNAKI nyakati zile za kale walitua mlima Hermon na wakasambaa Kwenye jamii nyingi sana wakieneza ustaarabu mkubwa sana kuanzia kuwatoa Watu kutoka kua primitive mpaka kua modern human lengo lao kubwa walitaka collaboration kutoka Kwa wenyeji wa Duniani na wakasambaa Kwenye jamii nyingi kama Assyrian, Sumerian, Babylon, Egyptian,Dogon,Kush, Aztec, Maya, Peru, Indus valley, china, India na inasadikika wakajenga base Yao kubwa huko Antarctica
Na ndio maana ukienda sehemu hizo utaona ustaarabu unao fanana Kwa kiasi kikubwa kuanzia utamaduni,Uhandisi, Hesabu, Tiba na mambo mengine na Hao Alliens walikuja Kwa project Moja kubwa ilikua ni kuchimba gold
Na ndio maana utaona bronze za utambulisho wao gold na ndio signs za waabudu miungu wengi utaona wanapamba vitu Kwa dhahabu kwenye vinyago vyao,mahekalu na madhabahu zao
walikua hawafanyi vile kujifurahisha la hasha Bali baada ya viumbe wale kurudi kwenye sayari zao Watu wakaanza kuwaabudu kama miungu wakitegemea ipo siku watarudi na zile Neema walizowaachia,
Huo ukawa mwanzo wa kuzaliwa Kwa Dini na Imani na ndio maana ukienda kwenye jamii za wa Aztec, Maya na Peru wao walitoa mpaka kafara za Binadamu kama sadaka wakiamini ya kwamba wale miungu walioondoka Miaka Ile warudi na huu utamaduni ukiendelea mpaka Miaka ya 1500"s pale Hernan Cortez the conquistador alipowakomesha Kwa kuwavamia na alikuata gold nyingi mno kwenye mahekalu Yao ambazo waliziweka wakiamini ipo siku miungu jua watarudi kuzichukua!
Hapa utapata mwanga kwanini jamii hizo zilifanana kiutamaduni maana huko kote Kuna Pyramids ambazo ndio utambulisho wa ANNUNAKI !
unachokiandika hapa ninakijua na kwa wakati
fulani nimewai kuwasimulia kitu hiki wana wangu.
nadhani tunapoachania njia ni kuhusu tukio la garika:, sijajua msimamo wako ni upi kuhusu garika "kwako garika ni ngano zilizotungwa na watu tu, ama unakubali garika ni tukio halisi ila sumerian walilisimua kwanza then wayaudi wakalichukua/kuiba na kuliweke katika vitabu vyao?.
iki ndicho kitu pekee ambacho sijakijua toka kwako.
na zaidi:, kuhusu dai la aliens kuanziasha dini ninakubaliana nalo 101%.
mwaka juzi niliwai sikiliza audio moja ya mahojiano ya jamaa mmoja na Dada mmoja kwa maelezo yake huyo dada ana dai ni Allien{kuamini kuwa ni kweli ama si kweli ni baina ya mtu na mtu}.
huyu bidada anaongea mengi sana.
anadai kuwa wao walikuwepo katika hii dunia kabla ya binaadam kuwepo, na wapo hadi leo hii. anadai binadamu ndio wavamizi katika hii dunia.
na hii dunia ili wai kaliwa na Alliens wa aina tofauti tofauti zaidi ya aina 15.
katika hayo maelezo kuna sehemu anaongelea kuhusu dini, anachokiongelea yeye ndicho ulichokiandika hapa.
na zaidi anapinga madai ya wanasayansi wanao dai kwamba Dinosaurs waliuawa na na kimondo. yeye ana dai kwamba:, miaka Milion kadhaa uko nyuma(anaongea kama shuhuda) kulitoka vita ndani ya jamii za Alliens zilizokuwa zikiishi hapa duniani na vita hiyo zilitumika siraha kubwa za nyuklia.
na matokeo ya siraha hizo ndizo ziliua dinosaurs na viumbe wengine wengi(kumbuka Hivi karibuni Gabon wanasayansi waligundua mlipuko wa nyuklia wa miaka million kadhaa iliyopita)
so, madai ya kuwa kimondo kilidondoka na kuua dinosaurs ni uongo bali ni vita ya Alliens ya wao kwa wao.
baada ya vita hiyo Alliens wengine waliondoka na kuelekea sayari zingine ila wao walibaki hapa hadi leo wapo na wanauwezo wa kuchukua umbo la kiumbe yoyote.
ila makazi yao ni hapa,wana dai wao ndio wanyeji wa hii dunia na binadamu wamewakuta hapa.
huyo dada anawaulaum Illojim, illojim waliitembelea hii dunia kwa mara kwanza na wakaumba binadamu(sisi) then illojim wakaondoka kurudi walikotokea.
baada ya miaka maelfu kadhaa wakarudi tena,wakakuta ninabinadamu wameongezeka ila hawamu hii waliporudi walizuia binadamu kushirikiana nasi kwa madai kuwa sisi(jamii ya huyo dada) ni viumbe waovu.
[Ngoja nifupishe story]
then illojim waliondoka na kuahidi kurudi, ila hadi leo ni maelfu ya miaka Hawajarudi tena.
sasa anasema:, katika binadamu kuna mgawanyiko, wapo wanao amini kuwa sisi ni viumbe waovu kama walivyo ambiwa na waumbaji wao(ILLOJIM) na wapo wanatuchukulia kuwa sisi ni viumbe rafiki kama viumbe wengine.
Nb:
Aisee, ninaandika uku nimeshatumia mmea na lager sijui ikiwa ninaeleweka.
very sorry kwa kutoeleweka kwa baadhi ya sentence.