DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Hivi adamu nae alihaidiwa kufufuliwa Kama sisi?Miaka inakimbia sana toka afe Adam mpaka leo bado hakuna kufufuliwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi adamu nae alihaidiwa kufufuliwa Kama sisi?Miaka inakimbia sana toka afe Adam mpaka leo bado hakuna kufufuliwa...
Hakuna kitu kama hicho...Hivi adamu nae alihaidiwa kufufuliwa Kama sisi?
Adam atafufuliwa na hao mitume wote pia watafufuliwa kama sisi kwa mujibu ya imani yangu ya dini ya kiislam. Sijuwi wenzangu Wakristo imani yenu inasemaje kuhusu kufufuliwa kwa Adamu?Hakuna kitu kama hicho...
Hawajawahi kuhaidiwa kufufuliwa...
Hakuna kitu kama kufufuliwa...Adam atafufuliwa na hao mitume wote pia watafufuliwa kama sisi kwa mujibu ya imani yangu ya dini ya kiislam. Sijuwi wenzangu Wakristo imani yenu inasemaje kuhusu kufufuliwa kwa Adamu?
Adam atafufuliwa na hao mitume wote pia watafufuliwa kama sisi kwa mujibu ya imani yangu ya dini ya kiislam. Sijuwi wenzangu Wakristo imani yenu inasemaje kuhusu kufufuliwa kwa Adamu?
Dinosaur ziko wapi katika safina ya Nuhu? woolly mammoths? Sabre toothKwahiyo unakubaliana na suala la Nuhu kuweka wanyama wote ndani ya safina!? Mbona issue hii ni simple tu haihitaji rocket science!?
Maana yake Nuhu aliweka wanyama kwenye safina pamoja na chakula cha chao cha kula siku zote hizo mpaka maji yalipokauka.
Kumbuka baada ya gharika, Nuhu alichinja kondoo, maana yake wanyama walikuwa wanazaliana ndani ya safina.
Use common senses kijana. Acha kulishwa matango pori.
Nitakupa hio pia Kwa kifupi...je wajua Wazulu Wana haditthi ya kuwa Mwezi ni kama Ganda la Yai bila Mgando? Kadhibitishwa na NASA baada ya kuangusha module Yao mwezini na sauti iliyotoka kafananishwa na Ile ya kengele(Gong) Kwa muda wa masaa kumi na minne( reverberations).Duuu mkuu hebu gusia hiyo ya mwezi kutokua angani niongezee maarifa Aisee maana haya mambo ni makubwa Sana Kwa sisi tulio free mind tunaenda kuingiza kitu kipya Kila siku!
🙏🙏🙏
Adamu na AwaHebu tupatie hizo ngano
Kama Yesu ni Mwana wa Mungu, je Mama yake Yesu ni nani au Bibi/Mke wa Mungu ni nani?Namwamini mungu baba mwenyezi
Muumba mbingu na nchi
Na yesu kristo mwana wake pekee, bwana wetu
Aliyechukuliwa mimba kwa uweza wa roho mtakatifu
Akazaliwa na bikira mariam
Akateswa zamani za pontio pilato
Akasulubiwa
Akafa
Akazikwa
Siku ya 3 akafufuka
Akapaa mbinguni
Ameketi mkono wa kuume wa mungu baba mwenyezi
Kutoka huko atakuja kuwahukumu wahai na wafu
Namwamini roho mtakatifu
Kanisa takatifu cartholic
Ushirika wa roho mtakatifu
Kufufuliwa kwa mwili
Na uzima wa milele
Amen
Mambo yaliyo juu ya uwezo wako ni mepesi na si kitu mbele za mungu, kitendo cha mariam kupata mimba bila kufanya tendo la ndoa na mwanaume yeyote ni muujiza tosha na ni ishara kwamba kwa mungu kuna uwezekano akawa na mtoto bila kuwa na mkeAdamu na Awa
Kama Yesu ni Mwana wa Mungu, je Mama yake Yesu ni nani au Bibi/Mke wa Mungu ni nani?
Dinosours waliishi kabla ya wanadamu, hawakuwepo kipindi cha gharika.Hivi na wale dinoseria wale wanyama wakubwa kuwahi kutokea waliishi zama gani? Kati ya hizo na hiyo Safina ilikuwa na ukubwa gani?View attachment 2030614
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Muwe mnasoma Biblia mnaielewa, kwa sababu haisemi hivyo kama ulivyoandika wewe hapa.Kwa biblia Dunia haizidi miaka 6000. Kwa uhalisia Dunia ni zaidi ya miaki bilioni 4.5 na binadamu amekuwa muda huo wote ila maafa Kwa njia ya mafuriko, Asteroids, Alien invasion na mengine mengi yamekuwa yakitokea na yataendelea kutokea. We are not the first technologically advanced civilization and neither are we the last.
Eish!!!Hizi stories za adam na Eva ni vigano na visassili vya wa Sumerian vilivyokuwa vikisimuliwa na mtawala mbabe wa dunia, ndugu yangu na rafiki yangu Gilgamesh
Hata hivyo mafuliko yanayoongelewa kwenye kitabu hicho kitakatifu, ni mafuliko yaliyotokea katika nchi aliyokuwa akiitawala Gilgamesh ikijumuisha mji wa UR inasadikika alikotoka Ibrahim.
Kuna mito miwili Tigris na Euphrates inaingia kwenye Persian Gulf, mvua kubwa ilinyesha na kuleta maafa maeneo ya Ur na miji ya karibu.
View attachment 2030014
Toa upumbavu wako hapa. Nimeandika wapi neno INASEMEKANA!? Unadhani mimi ni mbumbumbu kama wewe.Eish!!!
jamaa kaleta habari isiyo na chembe ya :, INASEMEKANA " ila umeibuka na kuipinga habari yake kwa kutumia habari yenye vipande vya INASEMEKANA .
Sasa hapa mpotishaji ni huyu mleta habari ambayo hakutia neno INASEMEKANA ama wewe mwenye habari ya inasemekana?.
japo habari yako yenye matege umeiweka kama changamoto tu, ila ulipaswa kui- frame vizuri.
Vizuri.Nakuunga mkono mkuu,Dunia Ina muda mrefu sana Toka mwanzo wake,Mimi nakazia hapo kwenye Allien invasion ndio chanzo Cha kuibuka Kwa Hizi dini,Kuna watu hua nawaambia hao viumbe wanaoitwa Mungu,Malaika,shetani,jini na jamii zao nyingi ni Aliens walioivamia Dunia na wakazi wake hapo kale na kuwapa ustaarabu wao,
Kutokana na ujuzi wao mkubwa na uwezo wao wa kufanya mambo ya kushangaza kutokana na kua high science advanced watu wakaanza kuwahusudu kama ni miungu,
Angalia zile civilization za kale kama Sumerians, Assyrian,Misri,Aztec,Indus valley nk lazima utaona masimulizi ya viumbe vya ajabu vilivyotenda mambo makuu na wao kuviita miungu ila wale wote ni Alliens wa kale waliopata kuitembelea Dunia!
rudia kusoma ulichokiandika then utatambua nani mpumbavu.Toa upumbavu wako hapa. Nimeandika wapi neno INASEMEKANA!? Unadhani mimi ni mbumbumbu kama wewe.
mbona mi ni Christian na ninazijua hizo story toka niko Msingi na sijawai zuiwa na mtu yoyote?Tafuta Epic of Gilgamesh.Viongozi wa Dini za Dunia haswa Islam, Christianity na Judaism hawataki wafuasi wao wafahamu haya mambo ili wazidi kuwafyonza Kwa Hali na Mali. Je wajua Kuna nyakati mwezi haukuwa angani?
hata kama walikuwepo wakati wa Nuhu shida iko wapi Dinosaur kuingizwa ndani ya Safina?.Dinosours waliishi kabla ya wanadamu, hawakuwepo kipindi cha gharika.
lazima iwaongelee maana masimulizi mengi Kwenye bible verses wamecopy Kwenye Accient writings za Mesopotamian!Vizuri.
ila nikukumbushe jambo moja "kuna wakati biblia inatumika kama ushahidi wa wale wanaokubali uwepo wa aliens".
Bible inatambua uwepo wa Aliens(Annunak), sio kwamba inakataa, na imewaongelea kwa upana.
ilo tu litoshe kusema kuwa iki unachokiandika hapa leo wao walikijua kitambo.
chief, ngoja nipakie kago kwanza ili mkono uenda kinywani.lazima iwaongelee maana masimulizi mengi Kwenye bible verses wamecopy Kwenye Accient writings za Mesopotamian!