A Afroman JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 1,443 Reaction score 1,927 Jun 17, 2024 #21 Umesema Benjamini Netanyahu said: Hakuna cha ajabu, kwani huu u-Rais wa bahati mbaya nao ni issue? Click to expand... Umesema Ukweli kabisa!
Umesema Benjamini Netanyahu said: Hakuna cha ajabu, kwani huu u-Rais wa bahati mbaya nao ni issue? Click to expand... Umesema Ukweli kabisa!
CHIEF PRIEST JF-Expert Member Joined Dec 13, 2021 Posts 11,635 Reaction score 21,347 Jun 17, 2024 #22 Benjamini Netanyahu said: Hakuna cha ajabu, kwani huu u-Rais wa bahati mbaya nao ni issue? Click to expand... Kama kunguru kumnyea mtu begani utasema anajua kulenga shabaha?
Benjamini Netanyahu said: Hakuna cha ajabu, kwani huu u-Rais wa bahati mbaya nao ni issue? Click to expand... Kama kunguru kumnyea mtu begani utasema anajua kulenga shabaha?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jun 18, 2024 #23 CHIEF PRIEST said: Kama kunguru kumnyea mtu begani utasema anajua kulenga shabaha? Click to expand... Hatari sn
CHIEF PRIEST said: Kama kunguru kumnyea mtu begani utasema anajua kulenga shabaha? Click to expand... Hatari sn
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Joined Aug 7, 2014 Posts 95,871 Reaction score 116,627 Jun 18, 2024 #24 Afroman said: Umesema Umesema Ukweli kabisa! Click to expand... Hatari na nusu
B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,354 Reaction score 4,024 Jun 18, 2024 #25 Eng. Zezudu said: Rais wa bahati mbaya na hakuwahi kuwa na malengo ya kuwa rais, tunahitaji rais ambae ana malengo , mwakani tunahitaji rais mpya aliye na mission na vision za kuwa rais, Click to expand... Tunahitaji Rais imara na bora na si bora Rais
Eng. Zezudu said: Rais wa bahati mbaya na hakuwahi kuwa na malengo ya kuwa rais, tunahitaji rais ambae ana malengo , mwakani tunahitaji rais mpya aliye na mission na vision za kuwa rais, Click to expand... Tunahitaji Rais imara na bora na si bora Rais
B Burkinabe JF-Expert Member Joined Feb 12, 2023 Posts 2,354 Reaction score 4,024 Jun 18, 2024 #26 Tuna katiba mbaya sana, ibadilishwe haraka iwezekanavyo