Miaka ya 90 pale uwanja wa ndege mzee Mwinyi aliwahi kunipa hela, fulana kwa mkono wake mwenyewe kisha akanambia maneno haya...

Ndio twasimulia sasa
 
Nasubiri histohisia za yule Mzee wa Tandamti.
 
Tatizo huwa tunayasema haya yote mtu akiwa hayupo; tujitahidi tuwe tunayaongea na yeye akiwepo na ayasikie; huu ndio utakuwa utamaduni mzuri.​
 
Andika kitabu hii habari muhimu kusomwa na kizazi chako pia
 
Sasa mkuu ulikuja kusoma au uliishia njiani na kwenye opombe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sasa mkuu ulikuja kusoma au uliishia njiani na kwenye opombe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nilisoma japo sikufika kule nilipopatarajia. Ila nashukur Mungu ushauri huo nautumia kwa watoto wangu.

Najizili na kujinyima baadhi ya mahitaj yangu ilimradi watoto wangu wafike mbali kielimu kama alivyoniambia mzee rukhsa.
 
Ali Hassan Mwinyi alitawala kama Harun Rashid wa Alfu-Lela-U-Lela.

Alikuwa ana hold court Lumumba, watu wanakuja na kesi zao anawatatulia.

A very old school gentleman.
 
1992 alinibeba na kunipa dhawadi alipokuja kufungua Kijitonyama nursery school baada ya kusoma shairi kwa weredi na udogo ule niliokuwa nao. Alinitabiria mazuri nitakapokuwa mkubwa na 90% yametimia. Roho yake ipumzike mahali pema
 
Sasa hivi Rais akifanya hivyo ataitwa muigizaji na populist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…