Mr Dudumizi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2020
- 7,799
- 14,215
- Thread starter
- #81
Wenye akili wameshanielewa mkuu.Kuhusu hazina kua tupu.......kwani hazina ni makabati ya kuifadhia pesa mkuu???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wenye akili wameshanielewa mkuu.Kuhusu hazina kua tupu.......kwani hazina ni makabati ya kuifadhia pesa mkuu???
Hahaha ya ni kweli 😂😂Elimu bila mipango ni ujinga.......cha kwanza mipango afu elimu.
Wasomi wengi ambao hawana mipango wanakufa njaa
Ndio twasimulia sasaMaisha ya mwanadamu ni hadithi tu....
Ishi utakavoishi hatimaye utaingia mavumbini...
....ukifa tutasimulia habari zako aidha kwa wema au ubaya wako....tujitahidi kuishi kwa wema ili watu wasimuliwe kuhusu wema tulioufanya kwa watu!
Hesabu ya mzee imekamilika naye yupo kwa Mola kupambana na hali yake, vipi wewe na mimi hesabu yetu ipoje?
Tuishi kwa wema....!
Nasubiri histohisia za yule Mzee wa Tandamti.Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nikiwa na umri mdogo nilihudhuria pale katika uwanja wa ndege wa kimataifa jijini Dar es salaam, kumuaga mzee wetu mzee Ally Hassan Mwinyi ambae alikuwa anaondoka kuelekea Zanzibar, baada ya utawala wake wa miaka 10 kuisha kikatiba.
Bibi yangu ambae alikuwa na umri sawa na marehemu mzee Mwinyi ila bibi alimzidi Mwinyi miezi miwili, alikuwa ni kiongozi wa kikundi fulan cha ngoma za kitamaduni zilizokuwa zinachaguliwa mara kwa mara kwenda kutumbuiza sehemu mbali mbali alizofika raisi Mwinyi enzi za utawala wake. Bibi yangu alikuwa na tatizo la ulemavu wa macho, hivyo mzee Mwinyi alitokea kumzoea na kumfahamu bibi yangu haraka sana (nahisi ni kutokana na ulemavu wake na pia kujituma hata pale alipokuwa mlemavu) mpaka kufikia kipindi mzee Mwinyi akawa anamwita bibi yangu "bi siti Mwinyi" kwa jina la utani.
Siku hiyo ya kumuaga mzee Mwinyi bibi na kikundi chake cha utamaduni walialikwa, hivyo wakati wakifanya maandalizi ya kujiandaa kwenda uwanja wa ndege mimi nikawa nang'ang'ania ili niende nao uwanja wa ndege kwa sababu usafiri ulikuwa wa bure tena basi la jeshi. Wakati huo nilikuwa bado kijana mdogo alafu ni mjukuu wa mwenye kikundi, hivyo hakuna aliepinga mimi kwenda hadi uwanja wa ndege kumuaga mzee Mwinyi.
Tulivyofika pale tukakuta vikundi vingine mbali mbali vya ngoma za kiutamaduni kutoka katika makabila na jamii mbali mbali, basi na sisi tukajumuika nao kumsubiri mgeni husika afike ili tumuage. Masaa mawili baada ya sisi kufika mzee Mwinyi alifika akiwa na familia yake akawa anapita katika kikundi kimoja kimoja ili kusikiliza nyimbo zao za kumuaga.
Alipofika pale katika kikundi cha bibi yangu alimsalimia bibi na kikundi chake chote kwa mkono, kisha akanisogelea na kuniuliza "mjukuu wangu wewe unaitwa nani?" Nikamjibu "naitwa M....", akaendelea "unasoma darasa la ngapi", nikamjibu ..., akauliza "umekuja na nani?" Nikamjibu "nimekuja na bibi yangu", bibi akaingilia kati na kumwambia "huyo ni mjukuu wangu", mzee Mwinyi akatabasamu akaingiza mkono mfukoni na kutoa kibunda cha pesa akanikabidhi nikakitia mfukoni.
Kulikuwa na jamaa pembeni (nahisi ni mlinzi au mpambe wake) akamwambia ampe tshirt 1 nyeupe iliyokuwa na picha yake akanikabidhi kama zawadi, kisha akanambia 👉 "Mjukuu wangu dunia ya leo ni elimu, hivyo pamoja na kupenda kuongozana na bibi yako katika mambo haya ya kitamaduni, lakini hakikisha elimu ndio kinakuwa kipaumbele chako cha kila siku katika maisha yako". Nikaitikia kwa kichwa huku nikitabasamu 😊 na yeye akatabasamu 😊
Kisha walinzi wake wakamwambia mzee muda wa ndege kuondoka unakaribia, akaendelea kuwaaga watu wengine mbali mbali waliokuwa pale uwanja wa ndege kumuaga, kisha akaingia ndani ya ndege huku akitupungia mkono.
Mzee Mwinyi alikuwa mtu mwenye moyo wa utu, wala hakuwahi kuwa na visasi na watu.
Aliwapenda watu na yeye alipendwa na watu. Taifa limepoteza mtu muhimu sana, ila ndo hivyo kazi ya Mungu haina makosa. Tulikuja kutoka udongoni, na tutarudia huko huko udongoni.
Bibi yangu yeye bado yupo hai ila ameshapoteza kumbukumbu, muda mwingine anamsahau mpaka mama yangu ambae ni mtoto wake mwenyewe wa kumzaa. Kidogo anamkumbuka mama yetu mdogo ambae ndio anaishi nae kwa sasa.
Pumzika kwa amani mzee Mwinyi, Mw/Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi ameena.
mgeni wap bhana weweWewe ndio mgeni humu, wengine tulikuwa tunaandika mema yake kabla hata ya kifo chake.
Andika kitabu hii habari muhimu kusomwa na kizazi chako piaHabari zenu wanaJF wenzangu,

Sasa mkuu ulikuja kusoma au uliishia njiani na kwenye opombeHabari zenu wanaJF wenzangu,

Kulikuwa na jamaa pembeni (nahisi ni mlinzi au mpambe wake) akamwambia ampe tshirt 1 nyeupe iliyokuwa na picha yake akanikabidhi kama zawadi, kisha akanambia [emoji117] "Mjukuu wangu dunia ya leo ni elimu, hivyo pamoja na kupenda kuongozana na bibi yako katika mambo haya ya kitamaduni, lakini hakikisha elimu ndio kinakuwa kipaumbele chako cha kila siku katika maisha yako". Nikaitikia kwa kichwa huku nikitabasamu [emoji4] na yeye akatabasamu [emoji4]
Kisha walinzi wake wakamwambia mzee muda wa ndege kuondoka unakaribia, akaendelea kuwaaga watu wengine mbali mbali waliokuwa pale uwanja wa ndege kumuaga, kisha akaingia ndani ya ndege huku akitupungia mkono.
Mzee Mwinyi alikuwa mtu mwenye moyo wa utu, wala hakuwahi kuwa na visasi na watu.
Aliwapenda watu na yeye alipendwa na watu. Taifa limepoteza mtu muhimu sana, ila ndo hivyo kazi ya Mungu haina makosa. Tulikuja kutoka udongoni, na tutarudia huko huko udongoni.
Bibi yangu yeye bado yupo hai ila ameshapoteza kumbukumbu, muda mwingine anamsahau mpaka mama yangu ambae ni mtoto wake mwenyewe wa kumzaa. Kidogo anamkumbuka mama yetu mdogo ambae ndio anaishi nae kwa sasa.
Pumzika kwa amani mzee Mwinyi, Mw/Mungu ailaze roho yako mahali pema peponi ameena.
Naam kuna siku nitalifanyia kazi wazo lako mkuu. Ubarikiwe sana 🙏Andika kitabu hii habari muhimu kusomwa na kizazi chako pia
Nilisoma japo sikufika kule nilipopatarajia. Ila nashukur Mungu ushauri huo nautumia kwa watoto wangu.Sasa mkuu ulikuja kusoma au uliishia njiani na kwenye opombe
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuuza Loliondo ni doa kubwa ambalo watanganyika hawakaa wasahau.Mauaji ya kanda ya Ziwa kuhusu waganga yalikuwa na ukiukwaji wa haki za binadamu. Sitasahau kwa hilo
KaribuNaam kuna siku nitalifanyia kazi wazo lako mkuu. Ubarikiwe sana 🙏
1992 alinibeba na kunipa dhawadi alipokuja kufungua Kijitonyama nursery school baada ya kusoma shairi kwa weredi na udogo ule niliokuwa nao. Alinitabiria mazuri nitakapokuwa mkubwa na 90% yametimia. Roho yake ipumzike mahali pemaMkuu Mr Dudumizi, simulizi yako inaniliza. Hasa hapo alipoagwa na kuelekea Zanzibar. Na leo ataagwa tena na kuelekea Zanzibar tena. Ila leo ni tofauti na mwaka 1995. Mwaka 1995 aliondoka akiwa hai, leo atasafirishwa akiwa si hai. Ni maisha tu!
Mimi nami nilikutana na kupokea zawadi kutoka kwake mwaka 1992 alipotembelea Shule yetu ya Msingi akiwa Rais. Alianzia mahali alipokwenda kutatua mgogoro wa ardhi baina ya wananchi. Alinipa zawadi baada ya kufanya vyema kwenye kujieleza mbele yake.
Pumzika pema Mzee Mwinyi, Rais wetu wa awamu ya pili!
AkumbukweKuuza Loliondo ni doa kubwa ambalo watanganyika hawakaa wasahau.
Sasa hivi Rais akifanya hivyo ataitwa muigizaji na populist.Nakumbuka akiwa raisi, mvua iliwahi kunyesha kubwa ikasabaisha uharibifu mkubwa maeneo mengi ya Dar es salaam. Mzee Mwinyi akiwa raisi alitembelea maeneo hayo tena akiwa mstari wa mbele kuwasaidia watu kutoa takataka mbali mbali katika mitaro iliyoziba.
Mimi nilimuona pale Manzese sokoni akiwa na buti za mvua akiingia matopeni kuwasaidia wafanya biashara kutoka vitu vyao vilivyoharibiwa vibaya na mvua.
Naam umeandika point kubwa ambayo wengi walikuwa hawaijui.Ali Hassan Mwinyi alitawala kama Harun Rashid wa Alfu-Lela-U-Lela.
Alikuwa ana hold court Lumumba, watu wanakuja na kesi zao anawatatulia.
A very old school gentleman.