Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
"Hakuna kitu wewe kama mwanaume unachoweza fanya ili kumfanya mwanamke aishi na wewe kwa uaminifu, sio pesa, sio mwonekano, sio power, sio chochote kile. Bali mwanamke mwenyewe tu akiamua kuishi na wewe kiuaminifu ataishi na ww hivo, lkn asipotaka hata uwe na pesa kiasi gani, handsome kiasi gani au umfunge GPS kwenye uke wake bado atakusaliti tu. Ishi na mwanamke ambae yupo tyr kuishi na wewe sio ambaye unamlazimisha aishi na wewe"
Nina jamaa yangu mmoja chapombe kila nikimuona yeye na mke wake nakumbukaga haya maneno, jamaa ni mlevi wa kutupwa, huwa analewa anazima tunampelekea mke wake home. Lkn mkewe anampenda kinoma huyo mshikaji. Tukiwa kwake yule mke anakua na heshima hadi nasema kimoyomoyo kuna wanaume wenzetu wana bahati. Na sio kwamba mwamba hacheat, yule mwamba tunapasiana madem watundu.
Hayana formula.