Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Umesema huwezi kuishi na mtu ambaye humpendi, Means umeshakua kwenye mahusiano kadhaa, sababu ya wewe kuwa kwenye hayo mahusiano kadhaa ni ipi ikiwa uko makini kwenye kufanya selection?Mapenzi hayana formula lakini amini nakwambia hii ndio formula ya pekee ambayo ina guarantee kufanya kazi kwa muda mrefu.
Mtu akikupenda, ana uwezo wa kuishi na wewe kwa muda mrefu bila kashikashi.
Na kukubadilikia atakubadilikia akichoka matukio. Manaake unakuwa umembadilisha anakuwa medusa.
Binafsi siwezi ishi na mtu simpendi, never on earth abadani asilani, sasa i have options… Kuna wale hawana options anayekuja tu wanachukua ndio mwanzo wa kwenda kusumbua kwa watu huko…
Learn or perish!