Miaka ya zamani niliambiwa haya maneno kuntu kuhusu kuishi na mwanamke

Umesema huwezi kuishi na mtu ambaye humpendi, Means umeshakua kwenye mahusiano kadhaa, sababu ya wewe kuwa kwenye hayo mahusiano kadhaa ni ipi ikiwa uko makini kwenye kufanya selection?
 
Umesema huwezi kuishi na mtu ambaye humpendi, Means umeshakua kwenye mahusiano kadhaa, sababu ya wewe kuwa kwenye hayo mahusiano kadhaa ni ipi ikiwa uko makini kwenye kufanya selection?
Kuna internal na external factors, Za kwangu box zote zinakuwa checked ✅️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…