Miamvuli gani original inaweza kukaa muda mrefu katika misimu miwili ya mvua?

Miamvuli gani original inaweza kukaa muda mrefu katika misimu miwili ya mvua?

Nyaubikra

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2019
Posts
1,752
Reaction score
4,267
Ndugu katika mapambano.

Leo jumatatu nimestuka saa tisa usiku naona mvua ipo kidogo nimejilaza naamka saa 11 mapema haijapoa.

Nimeshindwa kutoka mpka naandika huu Uzi hapa na nmesogea nilipo weka mwamvuli Toka mwaka jana nmeufungua vyuma vyote vimeachia Kwa kutu.

Nyie mnanunua miamvuli gani inayoweza kukaa kidgo Kwa mwaka mzima kusaidia Hali kama hii?
 
Back
Top Bottom