Michael Blackson mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani yupo real sana

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Huyu comedian mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani na kufanya kazi zake za sanaa Nchini Us pia ameshiriki filamu ya Coming to America 2, huwa ananifurahisha sana jinsi anavyopenda kwao Ghana anapenda kucheza miziki ya Afrika, vyakula vya nyumbani yeye ndio anakula hata akiwa marekan mara nyingi anakula ugali.

Pia anarudi sana kwao Ghana anajenga shule huko Ghana ili watoto wasome pia
Kila mara anaenda Kwao kwa mama yake, anapenda kuvaa nguo za vitenge
Anafaa kuigwa japo ana zile live zake za kutwerk na wadada wenye big ass Ila poa Tu.

Ingekuwa mwingine sipati picha ambavyo Angekuwa ananata
Na wengine muige muwe mnarudi nyumbani mfanye na vya maana sio kunywa bia tu
Michael yupo vizuri kiukweli anawapenda sana watu wake wa nyumbani kiujumla Afrika.

1620626937193.png
 
Lazima awe amekupendeza.... Ushawahi ku-DM??

Kidding!.
 
MB anafanya vizuri ,katika mastar wa bongo walionisikitisha mmoja wapo ni "Hashimu Sabiti" ,Jamaa alikuwa ashatoka kimaisha na angepata mshauri mzuri angefanya mambo makubwa sana nchini na kutengeneza ajira za kutosha,lakini mwili mkubwa akili kisoda akaishia kuwalamba kina Kidoti na kupiga mitama kina TID.
 
Kuna clip moja alikuwa anazinguana na demu wa 50, hahaha, jamaa yuko vyema.
 
MB anafanya vizuri ,katika mastar wa bongo walionisikitisha mmoja wapo ni "Hashimu Sabiti" ,Jamaa alikuwa ashatoka kimaisha na angepata mshauri mzuri angefanya mambo makubwa sana nchini na kutengeneza ajira za kutosha,lakini mwili mkubwa akili kisoda akaishia kuwalamba kina Kidoti na kupiga mitama kina TID.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Katika comedian mpumbavu ni huyu jamaa.... angalia stand up comedy zake anafanya zilezile negative stereotypes kuhusu Africa.
 
Sijaangalia hizo labda uzirushe hapa pia na wengine waone
 
MB anafanya vizuri ,katika mastar wa bongo walionisikitisha mmoja wapo ni "Hashimu Sabiti" ,Jamaa alikuwa ashatoka kimaisha na angepata mshauri mzuri angefanya mambo makubwa sana nchini na kutengeneza ajira za kutosha,lakini mwili mkubwa akili kisoda akaishia kuwalamba kina Kidoti na kupiga mitama kina TID.
Yule pesa ilikosea njia

Ova
 
Mkuu NBA ngumu sana sana. Wengine wanaishia kuwa omba omba. Yani ukifuatilia the dark side of NBA kuna stress nyingi na kuishi kwa mashaka
 
Back
Top Bottom