Michael Blackson mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani yupo real sana

Michael Blackson mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani yupo real sana

Inasikitisha sana na huwa najiuliza huyu jamaa alifeli wapi, nikaja kugundua USWAHILI na Ubongolala ndio vilimponza.

Anaacha kuimprove career yake huko US tena akiwa NBA player kabisa anakuja kujambiana Kinondoni kumbafu yeye

Leo hii angekuwa Dikembe Mutombo wa TZ, Dikembe Mcongo huyu aliyetumia opportunity vizuri sana huko USA.

Acha tu ulimbukeni/Ushamba ulimponza.
 
sio huyo tu, maceleb wenye asili ya west africa ambao wamefanikiwa marekani na kuishi huko, karibia wote wana mapenzi ya dhati sana na nchi zao za asili.

mwanamzki akon kafanya mambo makubwa sana kwao senegal. anajenga mji mkubwa sana unaofahamika kama akon city.
When an R&B star vows to build a futuristic city in your backyard
Watu wengi Marekani kila mmoja ana nchi yake.

Likitokea lolote utawaona wana support nchi zao.

Leo Palestina wako vitani, utawaona kina DJ Khaled wanaiombea nchi yao. Israel vivyo hivyo.

Kina Mia Khalifa - Lebanoni

US imekusanya idadi kubwa ya watu waliokimbia vita, mapigano, umasikini, udikteta, n.k
 
Back
Top Bottom