Michael Blackson mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani yupo real sana

Ana reception ilio changamka sana, sema tu Mungu hakunyimi vyote...😇
 
Kuna movie waliigiza naMike Epps nilicheka sana scene ya Bwana Blackson. Hahahaa.. WaAfrica wengi watoto wao wanaoishi US wapo real. Kuna Rapper kutoka Houston, TX, Maxo Kream wazazi wake ni wa Africa kutoka Nigeria lakini jamaa kwenye album yake ya Punken ameongea ki-Nigeria cha asili kabisa then Akatafsiri kwa English. Yaani nilifurahi sana kuona watu wanaappreciate acenstors wao walipokulia.
 
Mkuu NBA ngumu sana sana. Wengine wanaishia kuwa omba omba. Yani ukifuatilia the dark side of NBA kuna stress nyingi na kuishi kwa mashaka
Hata European football, wapo waliovuma enzi hizo sasa wamegeuka manamba. Wengine wameishia kufanya kazi kwenye old folks homes au kuosha vyombo kwenye restaurants, kuwa na nidhamu ya matumizi na kuwekeza ni akili ambayo wengi hawana.
 
Tatizo jina lake sio la ki afrika
 
Morning mathafakaz[emoji16]
 
Kumbe alimlamba kidoti...dah basi ana akili kubwa sana....mwanaume hela utumie kula mbususu hayo ya kujenga shule na hospital waachie serikali ndio jukumu lao
 
Kumbe alimlamba kidoti...dah basi ana akili kubwa sana....mwanaume hela utumie kula mbususu hayo ya kujenga shule na hospital waachie serikali ndio jukumu lao

Yap alilamba mbususu ya kisarawe oyeeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…