Michael Blackson mwenye asili ya Ghana anaeishi Marekani yupo real sana

tatizo chawa
 
Ambao ni maarufu dawa zinachukulikaje? Mtihani

Wanawatumia chawa wao au wengine wanawatumia madaktari wao kuwaletea maana daktari wake lazima ajue maana si ndio yeye alimpima na kumpa majibu?
 
Wanawatumia chawa wao au wengine wanawatumia madaktari wao kuwaletea maana daktari wake lazima ajue maana si ndio yeye alimpima na kumpa majibu?
Ila kuna ambao wanasingiziwa nadhani.
Ile list ndefu ya Yule mdau karibia wote wapo.
 
Huyu jamaa ukitaka kumuona miaka ya nyuma tazama movie ya Friday.

Nadhani ni ile Next Friday, ambayo Ice cube anaenda kwa baba yake mdogo. Anakutana na Binamu yake DeyDey, wanapoenda katika duka la kuuza Records anapofanya kazi DeyDey, jamaa Michael Blakson atakuja.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mzee wa "Give my money mazafaka"
 
Katika comedian mpumbavu ni huyu jamaa.... angalia stand up comedy zake anafanya zilezile negative stereotypes kuhusu Africa.
Ndo comedy ilivo hata blaza K anaongea kama wa kigoma which sounds weird and funny to us ila ndo kwao vivo hivo na masanja nae anafanya mambo ya ajabu ya wasukuma n.k
 
Comedy yake lugha za matusi nyingi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Inasikitisha sana na huwa najiuliza huyu jamaa alifeli wapi, nikaja kugundua USWAHILI na Ubongolala ndio vilimponza.

Anaacha kuimprove career yake huko US tena akiwa NBA player kabisa anakuja kujambiana Kinondoni kumbafu yeye

Leo hii angekuwa Dikembe Mutombo wa TZ, Dikembe Mcongo huyu aliyetumia opportunity vizuri sana huko USA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…