Inasikitisha sana na huwa najiuliza huyu jamaa alifeli wapi, nikaja kugundua USWAHILI na Ubongolala ndio vilimponza.
Anaacha kuimprove career yake huko US tena akiwa NBA player kabisa anakuja kujambiana Kinondoni kumbafu yeye
Leo hii angekuwa Dikembe Mutombo wa TZ, Dikembe Mcongo huyu aliyetumia opportunity vizuri sana huko USA.