Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Message za Watsup zilizofutwa zitapatikana?Kila kitu kitafumuliwa nje ndani, hii kesi iko London kwa watu wanaojielewa, ushahidi wote uko ndani ya TIGO kampuni la wazungu , mzungu hajawahi kushindwa kesi ya kizembe kama hii