Masikini wa akili na ufahamu wewe...
Kwanini umeshindwa kunisoma na kunielewa..?
Nimekuambia Samia Suluhu Hassan si mama yako wala wangu...
Huyu ni Rais wa JMT...
Anahusika na kuwajibika na kila kilichotokea na kinachotokea sasa hapa nchini sio kama mama yako wewe
narogo bali kama Rais wako...
Mpaka hapo huelewi tu? Unadhani nakufokea?