Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Nimeona mijadala mingi sana watu wakijaribu kumfananisha Chriss Brown na Michael Jackson, wengi wakienda mbali saana na kusema Chriss ni mwanafunzi wa Michael Jackson, sikatai maana Mwanafunzi anaweza kua bora zaidi ya Mwalimu wake nimebaki kushangaa na kusikitika tu.
Hapa siongelei kuimba naongelea kucheza na kumiliki jukwaa, alichokifanya Michael Jackson, chriss anakifanya vizuri zaidi, lakini anachokifanya chriss, MJ hawezi hata kidogo na angejaribu angevunja mifupa yoote.
Nimeangalia show ya grammy award mwaka 1995 ambayo watu wanaisifiaa nikabaki kushangaa tu, sawa alikua anajua ila muda mwingi ni "kushake " na kutikisa kichwa tu, kurudi rudi nyuma, kuvaa vinyago mixer kupiga makelele, hata mimi ukinifundisha mwezi tu najua, lakini brizzy mwamba anaruka masarakasi, bending, flip za kutosha aaaah brizzy achana nae,
Kwenye kuimba MJ ni noma zaidi ya chriss brown.
Mawazo yangu yaheshimiwe.