Michael Jackson special thread....

Michael Jackson special thread....

My love will never be the same,.......
The way I walk, the way I talk I cannot explain...[emoji7][emoji7]
 
Alikuw anajua watu wanaitaji nini na kwa wakat gan
 
hii track mkuu hainichoshaji miaka mia....
huyu jamaa zaidi ya kipaji...
 
Ukiitazama show ya ule wimbo wa man in the mirror,
Lazima machozi yakutoke aisee yaani jamani acheni kabisa
aalaaaahh laaaaa acha kabisaa..show ya huo wimbo lazima upatwe na gosebumps
 
Jamaa nyimbo zake za taratibu ila sasa nenda kwenye show uone balaa lake
mkuu mbona Jamaa anangoma za kuchezeka tena ambazo temple yke zinakimbia speed ile mbaya....... kaisilize smooth criminal ..dirt diana"" scream na nyingine nyingi tu
 
mkuu mbona Jamaa anangoma za kuchezeka tena ambazo temple yke zinakimbia speed ile mbaya....... kaisilize smooth criminal ..dirt diana"" scream na nyingine nyingi tu
Pia "beat it"
 
I love bill Jane,I need you,heal the world and they don't care about us.
 
Hii picha ni kutoka Video ta Smooth Criminal inayopatikana kwenye Album yake ya "BAD" ya mwaka 1987..

Ukiangalia hii video, huyu jamaa alikuwa mbali sana kulinganisha na watu wengine wa miaka hiyooo na hata sahizi hii video kuanzia idea yake , dance moves, na kila kitu ni bonge moja la video
pBhS3y0ZgnL-.jpg
 
Michael Jackson Ni Super Human In The Music Industry.

Ikipigwa Billie Jean Hata Niwe Msibani Nitanyanyuka Nicheze. This Song Never Get Old I Swear. Whenever I Hear This Song I Completely Went Insane Kwa Mpangilio Wa Instruments, Voice, Plus Message Ya Wimbo. In Short Mungu Alitoa Vipaji Nimeamini Kwa MJ.

Hichi Kipande Hichi.

"For Forty Days And Forty Nights
The Law Was On Her Side But Who Can Stand When She's In Demand Her Schemes And Plans" (Apo Anaweka Kisauti Fulani Cha Kionjo).

"Cause We Dance On The Floor In The Round Baby "

"People Always Told Me Be careful Of What You Do, Don't Go Round Breaking Young Girl's Heart, And Mother Always Told Me Be Careful Who You Love, Be Careful What You Do , Before The Lie Becomes The Truth"

Billie Jean *2.

Aisee Tangu Nizaliwe Sijawahi Kuwa Mesmerized Na Music Except Mj.

1.A Man In The Mirror.
2.She's Out Of My Life.

Emotional Song Mpaka Unalia.


Gone Too Soon Michael. R.I.P[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Niliangalia Show Ya Billie Jean Mwanzo Mwisho Kelele Za Watoto, Watu Wazima, Wazee Wakimshangilia Sasa Kuna Style Moja Ya Kucheza Kwa Kurudi Kinyume Nyume Afu Ana Rotate Then Ana Kunja Miguu. Haki Ya Mungu Huyu Alikuwa Pure Genius Wa Music. A True Definition Of Music.
 
Bhado Ngoma Inaitwa "In The Closet" Ina Sound Effect Flani Lazima Udate. Hawa Bongo Flavor Mziki Wao Sijui Wanafanya Kwa Njaa. Ukiipenda Kazi Kama MJ Plus Uwe Creative Lazima Utoboe.
 
Back
Top Bottom