soul provider
JF-Expert Member
- Jun 21, 2014
- 1,341
- 2,113
Kuna kasongi flani Cha Michael kanaitwa 'FOR ALL TIME'. he was pure talented
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa jinsi alivyofanya music wake vizuri naonaga malipo yake ni kwenda Peponi tuHakunaga kama MJ
The Guy Was Protege. Wanatokea Once In A Century.Hakunaga kama MJ
Ha Ha Ha. Kweli Upo Vizuri Mkuu Kwenye Music Ya MJ. 😀 😀 😀Na SAA 7 hii Ya usiku ninabeng"" ns kwanja zake, HUYU MTU NI WA HATARI SANA_, KAMA YUPO HAI VILEEE... MICHAEL JACKSON, "HE LIVES ON"
Mkuu Uchambuzi Wako Umenikosha.Then issue nyingine ilikuwa kwa Trump miaka ile ya 1990's alikuwa akiarika watu mashuhuri kwenye kasri lake la Trump tower mwafrika pekee aliekuwa anamuarika alikuwa Wacko Jacko pekee na akiulizwa na watu wa habari why only one black man? Anasema neno moja tu kwamba "Michael is special" so don't talk about Michael.
Alikuwa anawaona waafrika wote kama nyani tu lakini ikifika kwa Michael anakwambia yule dogo nuache kama alivyo..yule sio mwafrika wala mzungu he is special human being.
Kweli MJ alikuwa ana genius level talent ya hali ya juu.
Pia kuna kipindi alikuwa anafanya kazi na Akon kwenye ile ngoma ya "Hold my hand" Akon anakwambia Michale ni perfectionist anapenda vitu vikamilike to infinity..unaambiwa kila muda Akon alikuwa akifika studio na kuiskiza ile ngoma anaiona ni Kali balaa...lakini akifika Michael anamwabia Akon ngoma bado kidogo...hadi anakufa ile ngoma ilikuwa haijatoka sababu Wacko aliamini haijakaa fresh..but ilipotoka kila mtu akaikubali kwamba ni Kali but kwa Michael ilikuwa ya kawaida sana.
Perfectionist ...Wacko Jacko!
Hii picha ni kutoka Video ta Smooth Criminal inayopatikana kwenye Album yake ya "BAD" ya mwaka 1987..
Ukiangalia hii video, huyu jamaa alikuwa mbali sana kulinganisha na watu wengine wa miaka hiyooo na hata sahizi hii video kuanzia idea yake , dance moves, na kila kitu ni bonge moja la videoView attachment 738372
Dirty Diana.Nyimbo Za Mj Of All Time
1. Billie Jean
2.Human Nature
3.Smooth Criminal
4.The Way You Make Me Feel
5.Liberian Girl
6.Will You Be There
7.Man In The Mirror
8.Thiller
10.Dangerous
Za Kucheza
1.Bad
2.Smooth Criminal
3.Don't Stop Till You Get Enough
4.Billie Jean
5.Dangerous
6.Blood On The Dance Floor
7.Off The Wall
8. Thriller
9. Speed Demon
10. The Way you make me feel
Emotional
1.She's Out Of My Life
2.Man In The Mirror
3.I'll Be There
4.Heal The World
5.Heaven Can Wait
6.Will You B There
7.Billie Jean
8.Lost Children
9.You're Not Alone
10.Break Of Down