ARV
JF-Expert Member
- Sep 6, 2011
- 5,337
- 7,593
Baada ya Robert Nesta Marley nadhani anafatia huyu kwa ubora.Hakunaga kama MJ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baada ya Robert Nesta Marley nadhani anafatia huyu kwa ubora.Hakunaga kama MJ
Hizo ni siasa tuu..Bob anakaribia level za manabii. Kwa mashairi yake mazito ametatua shida/vita na kupatia hamasa wanyonge wengi duniani. Tafuta lile tukio la Michael Manley na Edward Seaga wale mahasimu wakuu wa kisiasa Jamaica alivyowapatanisha nchi ikatulia, nchi ilikuwa iingie vitani.ubora kwenye nini.
Mj kumbuka ndiye alichukua tuzo ya artist of the century mbele ya kina Bob na na wengineo
usinilize please.."" mwaka 2009 ulikuwa mgumu sana kwangu baada ya kupokea taarifa za kifo cha huyo genius ....""" gone too soon MjMichael Jackson Ni Super Human In The Music Industry.
Ikipigwa Billie Jean Hata Niwe Msibani Nitanyanyuka Nicheze. This Song Never Get Old I Swear. Whenever I Hear This Song I Completely Went Insane Kwa Mpangilio Wa Instruments, Voice, Plus Message Ya Wimbo. In Short Mungu Alitoa Vipaji Nimeamini Kwa MJ.
Hichi Kipande Hichi.
"For Forty Days And Forty Nights
The Law Was On Her Side But Who Can Stand When She's In Demand Her Schemes And Plans" (Apo Anaweka Kisauti Fulani Cha Kionjo).
"Cause We Dance On The Floor In The Round Baby "
"People Always Told Me Be careful Of What You Do, Don't Go Round Breaking Young Girl's Heart, And Mother Always Told Me Be Careful Who You Love, Be Careful What You Do , Before The Lie Becomes The Truth"
Billie Jean *2.
Aisee Tangu Nizaliwe Sijawahi Kuwa Mesmerized Na Music Except Mj.
1.A Man In The Mirror.
2.She's Out Of My Life.
Emotional Song Mpaka Unalia.
Gone Too Soon Michael. R.I.P[emoji24] [emoji24] [emoji24]
Mkuu kule music industry yao ...imejaa ma engineer wa music...hawafanyi tu "" vichochoroni...watu wameweka investment ya kutosha.... hebu angalia behind the scene ya black or white ..au ghostBhado Ngoma Inaitwa "In The Closet" Ina Sound Effect Flani Lazima Udate. Hawa Bongo Flavor Mziki Wao Sijui Wanafanya Kwa Njaa. Ukiipenda Kazi Kama MJ Plus Uwe Creative Lazima Utoboe.
Naaam hii show ilifanyika uwanjani..mchana kweupeeee"" kama sijasahau ilikuwa ni newyork" ....daaaahh hiyo security iliyokuwepo hapo sio mchezo ""View attachment 741964
Hapa Alikuwa Akiimba Heal The World , Pamoja Na Watoto.
akiwa na Naomi cambleView attachment 741965
Hapa Alikuwa Ana Shoot Video Yake Ya "In The Closet"
hayo achana nayo "" maisha yana siri nyingi ""Ila wanasema huyu jamaa alikuwa ni mfalme Wa ulimwengu Wa Giza ni kweli!?
acha masihara...na muheshimu Bob ...kutokana na nyimbo zake za " kuwahamasisha watu"" wapate kujitambua.. especially Africa...but kwa Mj naomba asubiri aiseee"""Baada ya Robert Nesta Marley nadhani anafatia huyu kwa ubora.
Naaam Jamaa alisukwa "" alisukwa haswaaa...sijui walimpeleka kuzimu ..maana ule mvuto aliokuwaga nao "" OMG sio mchezo ..lile ni balaa""Mpaka sasa sijaona msanii aliye na kipaji cha uimbaji kumfikia Michael Jackson, jamaa alikuwa na kipaji, nyota, mbunifu na kila kitu ambacho msanii alipaswa kuwa navyo.
Jamaa alisukwa haswa na Masonic, alisukwa kisawasawa, yaani alisukwa haswaaaaaaaa.
Angekuwa hai ningemwomba akupe mwanae umuoehahaa ..mkuu weee acha tu ..kama unavyojua huyu Jamaa alinifanya niwe na kichaa cha mahaba dhidi Yke "" kwakweli anaishi moyoni....
gone too soon MJ
hahaaa daahh mwanae kawa mcharuko sio wa sayari hii...simuwezi hataAngekuwa hai ningemwomba akupe mwanae umuoe
You are not alone!
Roho ipo!