Michael Kimbaki, Mshindi wa Kura za maoni ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuwania Ubunge Jimbo la Tarime Mjini, amekubali maamuzi ya Kamati Kuu ya CCM yaliyompendekeza Ester Matiko kuwa mgombea Ubunge wa Jimbo hilo.
Hata hivyo, Kimbaki amesema haungi mkono wazo la kuzuia Wabunge kuishia Miaka 10 pekee, akisisitiza kuwa Wananchi ndio wenye mamlaka ya mwisho kupitia sanduku la Kura.
Video: GlobalTVOnline
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.