Umslopagaas
Member
- Nov 13, 2016
- 47
- 112
Huyu mwamba hakuwahi kuandika kitabu cha historia yake?
On My Father’s Wings
Kitakupa majibu mengi ambayo humu yanuulizwa. Ameeleza history ya maisha yake, biashara alizofanya na changamoto zake pamoja na biashara ya ndege kwa ujumla