Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Wakichambua magazeti leo asubuhi kaika kipindi cha Watanzania Tusikilize Magazeti cha Radio Free Africa kapotoka kwamba SGR ni STIGLERS GORGE. Hii inamaanisha kwamba Watangazaji wetu huwa hawana elimu pana kuhusu mambo endelevu yaani CONTEMPORARY ISSUES ambayo kama waandishi wa habari wanatakiwa kutekeleza kila siku kujisomea bila kuchoka.
Hili liliwah kusemwa humu,wengi mambo mengi hawajui ni weupe kabisaWatangazaji wengi wa Radio za Bongo General knowledge ipo chini sana
Nachokigundua mara nyingi nikisikiliza Radio ni unatakiwa kuwa unajua kubwabwaja,kujuana na ukiwa na vituko unaweza kupata kazi ya utangazaji kiurahisi
Huyo muandishi alifikaje Hapo RFA, walimfanyia interview kweliWakati akichambua magazeti leo asubuhi kaika kipindi cha Watanzania Tusikilize Magazeti cha Radio Free Africa kapotoka kwamba SGR ni STIGLERS GORGE. Hii inamaanisha kwamba Watangazaji wetu huwa hawana elimu pana kuhusu mambo endelevu yaani CONTEMPORARY ISSUES ambayo kama waandishi wa habari wanatakiwa kutekeleza kila siku kujisomea bila kuchoka.
SGR ni STANDARD GAUGE RAILWAY.
Sasa Tanzania ni kinyume,kazi ya uandishi wa Habari na utangazaji imekuwa ni kazi ya "vilaza",wale waliofeli darasani kimbilio Lao ndilo huko wakati ni kinyume na nchi nyingine ambapo ni kazi ya wenye upeo na uelewa mkubwa!Hili liliwah kusemwa humu,wengi mambo mengi hawajui ni weupe kabisa
uKiwa mwandishi wa habari inatakiwa uwe mfatiliaji sana wa mambo mengi yanayofanyika nchini mwako na duniani huko,
Simulaumu anapenda Sana kunyonya makalio makubwa hivyo ubongo wake umejaa kinyesiHata baadhi ya wasanii wetu ni watupu mnoo kichwani mfano halisi ni Harmonize
Kuna siku alikua clouds fm alienda kuongelea album yake ya Samia ,akisifu juhudi za Mama kizimkazi, Sasa moja ya vitu alivyokua anampa sifa Rais ni pamoja ya hii SGR, katika kuielezea badala ya kusema station akawa anasema Stationary ....
Ilibidi nizime radio coz aibu nliona mimi