Michael Noel wa RFA acha kupotosha, SGR sio Stiglers Gorge

Michael Noel wa RFA acha kupotosha, SGR sio Stiglers Gorge

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Posts
4,120
Reaction score
3,468
Wakati akichambua magazeti leo asubuhi katika kipindi cha Watanzania Tusikilize Magazeti cha Radio Free Africa kapotosha kwamba SGR ni STIGLERS GORGE.

Hii inamaanisha kwamba Watangazaji wetu huwa hawana elimu pana kuhusu mambo endelevu yaani CONTEMPORARY ISSUES ambayo kama waandishi wa habari wanatakiwa kutekeleza kila siku kujisomea bila kuchoka.

SGR ni kifupi cha maneno :-
STANDARD GAUGE RAILWAY.
 
Bubu umeanza tena kusema ovyo?
Wakichambua magazeti leo asubuhi kaika kipindi cha Watanzania Tusikilize Magazeti cha Radio Free Africa kapotoka kwamba SGR ni STIGLERS GORGE. Hii inamaanisha kwamba Watangazaji wetu huwa hawana elimu pana kuhusu mambo endelevu yaani CONTEMPORARY ISSUES ambayo kama waandishi wa habari wanatakiwa kutekeleza kila siku kujisomea bila kuchoka.
 
Watangazaji wengi wa Radio za Bongo General knowledge ipo chini sana
Nachokigundua mara nyingi nikisikiliza Radio ni unatakiwa kuwa unajua kubwabwaja,kujuana na ukiwa na vituko unaweza kupata kazi ya utangazaji kiurahisi
 
Hili liliwah kusemwa humu,wengi mambo mengi hawajui ni weupe kabisa

uKiwa mwandishi wa habari inatakiwa uwe mfatiliaji sana wa mambo mengi yanayofanyika nchini mwako na duniani huko,
 
Wakati akichambua magazeti leo asubuhi kaika kipindi cha Watanzania Tusikilize Magazeti cha Radio Free Africa kapotoka kwamba SGR ni STIGLERS GORGE. Hii inamaanisha kwamba Watangazaji wetu huwa hawana elimu pana kuhusu mambo endelevu yaani CONTEMPORARY ISSUES ambayo kama waandishi wa habari wanatakiwa kutekeleza kila siku kujisomea bila kuchoka.
SGR ni STANDARD GAUGE RAILWAY.
Huyo muandishi alifikaje Hapo RFA, walimfanyia interview kweli
 
Hata baadhi ya wasanii wetu ni watupu mnoo kichwani mfano halisi ni Harmonize

Kuna siku alikua clouds fm alienda kuongelea album yake ya Samia ,akisifu juhudi za Mama kizimkazi, Sasa moja ya vitu alivyokua anampa sifa Rais ni pamoja ya hii SGR, katika kuielezea badala ya kusema station akawa anasema Stationary ....
Ilibidi nizime radio coz aibu nliona mimi
 
Yuko mmoja wa redio moja ya kijamii alisema zaidi ya mara 3 jina la Naibu rais wa Kenya alietolewa kuwa ni William Gachagua badala ya Rigathi Gachagua. Wengi ni empty set
 
Hili liliwah kusemwa humu,wengi mambo mengi hawajui ni weupe kabisa

uKiwa mwandishi wa habari inatakiwa uwe mfatiliaji sana wa mambo mengi yanayofanyika nchini mwako na duniani huko,
Sasa Tanzania ni kinyume,kazi ya uandishi wa Habari na utangazaji imekuwa ni kazi ya "vilaza",wale waliofeli darasani kimbilio Lao ndilo huko wakati ni kinyume na nchi nyingine ambapo ni kazi ya wenye upeo na uelewa mkubwa!
Hii pia inachangiwa na mfumo wa siasa na utawala wa nchi hii,kwani huwatumia waandishi wa Habari Kama daraja la kufanikisha Mambo yao hivyo hawawezi kuruhusu iwe taaluma ya wenye upeo mkubwa(intelligent) kwani hawatoruhusu kutumika kinyume
Ndio maana ukaona hata ule muswada wa Habari kipindi kile Cha utawala wa awamu ya tano ukashindwa kupitishwa na kuwa sheria, kwani ulitaka Taaluma ya uandishi wa Habari na utangazaji iwe ya wasomi(graduates) na sio vilaza( failures) ambavyo ingekuwa Sumu kwa wanasiasa uchwara kwani wangekosa "makanjanja" wa kuwatumia Kama "chawa" wao!
 
Yaani Taaluma ya uandishi wa Habari na utangazaji kwa Tanzania ni "kichefuchefu" kitupu ! Wamejaa vilaza na makanjanja watupu...hebu msikie yule mtangazaji Amri masare anatangaza siku moja kipindi Cha michezo eti Liverpool Fc ni majogooo wa jiji la London!! Hebu fikiria Liverpool na London ni miji miwili tofauti kabisa,yaani sawasawa na hapa bongo uwaite mbeya city fc ya wakati ule kuwa wababe wa jiji la Dar es salaam
 
nawewe ongeza neno ,kifupi kwamba SGR ni kifupi Cha ......or SGR stand for ..... sawa mwalimu sozo
 
U
Hata baadhi ya wasanii wetu ni watupu mnoo kichwani mfano halisi ni Harmonize

Kuna siku alikua clouds fm alienda kuongelea album yake ya Samia ,akisifu juhudi za Mama kizimkazi, Sasa moja ya vitu alivyokua anampa sifa Rais ni pamoja ya hii SGR, katika kuielezea badala ya kusema station akawa anasema Stationary ....
Ilibidi nizime radio coz aibu nliona mimi
Simulaumu anapenda Sana kunyonya makalio makubwa hivyo ubongo wake umejaa kinyesi
 
Back
Top Bottom