DOKEZO Michango imekuwa mingi Shule ya Msingi Njelela iliyopo Ludewa - Njombe, Mzazi ambaye hatatoa anakamatwa

DOKEZO Michango imekuwa mingi Shule ya Msingi Njelela iliyopo Ludewa - Njombe, Mzazi ambaye hatatoa anakamatwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nashangaa wanaomshangaa huyu mzazi kwamba hizo ni pesa ndogo na achange tu bila shida..... Nakumbuka swali langu nililouliza hapo kabla mimi kama mlipa Kodi.... (Sababu Huduma zimepungua sana na kila kitu imekuwa kujitafutia sio kama awali..., sasa nilitegemea kodi na huduma ziwe directly proportional na sio indirectly...

Shida Iko hapo kuwalipa hao walimu wanao jitolea hiyo pesa ni kubwa sana ukichuka idadi ya wanafunzi 400 × 100,000=40,000,000/= Kwa mwezi na walimu wenyewe wako 3 sio sawa kabisa
NIlivyoelewa amemaanisha kuwa hao walimu wanalipwa 100,000/= kwa kila mmoja kwa mwezi ikiwa ni posho yao.
Hiyo 100,000/= ya posho kwa mwalimu inatokana na 10,000 ya mchango ikiwa ni sehemu ya ile 15,000/=
Hakuna mchango wa 100,000/=
Kama alivyosema👇

"Mchanganuo wa michango hiyo ipo kama ifuatavyo: -
a) 5,000/- ya kukobolea Mahindi
b) 10,000/- inatumika kwenye matumizi mengine ikiwemo kulipia Walimu hao wanaojitolea."
 
Sawa sawa nashukuru Kwa ufafanuzi Mimi nilielewa tofauti
 
Wanapenda na wanaona ufahari
Kukamatakamata na kuwaweka watu ndani hawa mambugila

Ova
 
Hiyo michango c makubaliano ya kikao?, kama hakuna mpishi nani awapikie watoto wenu,. Ufumbuzi ni kuchanga fedha muajiri mpishi, changeni fedha ya Kuni au watoto wabebe Kuni Toka nyumbani.
 
Back
Top Bottom