NIlivyoelewa amemaanisha kuwa hao walimu wanalipwa 100,000/= kwa kila mmoja kwa mwezi ikiwa ni posho yao.
Hiyo 100,000/= ya posho kwa mwalimu inatokana na 10,000 ya mchango ikiwa ni sehemu ya ile 15,000/=
Hakuna mchango wa 100,000/=
Kama alivyosema👇
"Mchanganuo wa michango hiyo ipo kama ifuatavyo: -
a) 5,000/- ya kukobolea Mahindi
b) 10,000/- inatumika kwenye matumizi mengine ikiwemo kulipia Walimu hao wanaojitolea."