Ccm weanza kutafuta wasaliti hali mbaya.
Kiujumla hakuna USALITI ni matokeo ya kukandamiza uhuru kwa kipindi chote toka 2016 hadi kipindi cha kampeni hizi za 2020.
Kura nyingi za upinzani zitatoka ccm kwakuwa mmeshindwa kuleta maendeleo kwa wapiga kura,mmefanya vitu ambavyo hamkutumwa,mnialazimisha tu!
Reli,umeme wa nyerere,flyover,midege hayakuwa mahitaji ya sasa.Biashara zimekufa,fedha zimepotea,maisha yamekuwa magumu,usalama wa maisha haupo tena.Watu wamechoka sana kiujumla,watumishi ndio usiseme.
#NI YEYE