Michango kwa wanafunzi wapya Mtwara

Sasa elimu Bure ina maana gani?wananchi waambie hakuna elimu Bure wajiandae mapema,huku kuwarudisha watoto nyumbani kunawadhiri kisaikolojia Kama ingekuwa wazi hizo gharama wangejiandaa Ila makelele elimu Bure yaleta shida

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 

Hakuna michango wa lazima.
Rais ameshatoa maagizo kwa waziri wa elimu na waziri mkuu. Huko Mtwara hawajapata maagizo haya?! Mpigie waziri wa elimu mara moja. Achana na DC.
 
Wewe uliyechukulia kawaida ndo hujielewi. Ni sheria ipi inayozuia mwanafunzi mwanafunzi kuanza masomo kama hajapeleka dawati na fyekeo?
 
Rejea Hii
Your browser is not able to display this video.
 
Dawati 120,000 chakula 100,000 mlinzi 6000. Hutaki mrudishe mwanao nyumbani.
 
Acha wakae chini mnashindwa kutumia common sense madarasa hakuna,viti na mrza hakuna still mnaambiwa elimu bure captation ya tangu 2016 wanafunzi 200 ndo hyohyo had 2021 wanafunzi 800...utopolo nyie jali watoto wenu wenzenu wao wako ulaya
 
Acha ujinga siasa haitamuandalia mwanao maisha yake.

Kalipe mwanao asikae sakafuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…