Michango kwa wanafunzi wapya Mtwara

Michango kwa wanafunzi wapya Mtwara

Acha kupenda vya bure wewe, Mimi mwenyewe Kuna dogo nampeleka next week akaanze shule nimeambiwa nipeleke kiti na meza nimechukulia kawaida tu, Kama vipi mpeleke shule ya baba ako(yaani shule ya babu yake huyo mwanao) ambayo hakuna mchango hata kidogo. Mtoto umemzaa mwenyewe unapenda vya bure bure tu.
Sasa elimu Bure ina maana gani?wananchi waambie hakuna elimu Bure wajiandae mapema,huku kuwarudisha watoto nyumbani kunawadhiri kisaikolojia Kama ingekuwa wazi hizo gharama wangejiandaa Ila makelele elimu Bure yaleta shida

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Nimesikitishwa na wanafunzi wapya wa kidato cha kwanza, wasiotoa michango ya madawati kurudishwa nyumbani au kukaa chini hadi walipe michango. Nimejaribu kupiga namba za DC 023 2333 928 kuulizia hili haikujibiwa.

Naomba kama anaona message hii atoe ufafanuzi au mwenye namba nyingine anipe. Hususan shule ya Mangamba, kule kwa walala hoi.

Hakuna michango wa lazima.
Rais ameshatoa maagizo kwa waziri wa elimu na waziri mkuu. Huko Mtwara hawajapata maagizo haya?! Mpigie waziri wa elimu mara moja. Achana na DC.
 
Acha kupenda vya bure wewe, Mimi mwenyewe Kuna dogo nampeleka next week akaanze shule nimeambiwa nipeleke kiti na meza nimechukulia kawaida tu, Kama vipi mpeleke shule ya baba ako(yaani shule ya babu yake huyo mwanao) ambayo hakuna mchango hata kidogo. Mtoto umemzaa mwenyewe unapenda vya bure bure tu.
Wewe uliyechukulia kawaida ndo hujielewi. Ni sheria ipi inayozuia mwanafunzi mwanafunzi kuanza masomo kama hajapeleka dawati na fyekeo?
 
Rejea Hii
 
Dawati 120,000 chakula 100,000 mlinzi 6000. Hutaki mrudishe mwanao nyumbani.
 
Acha wakae chini mnashindwa kutumia common sense madarasa hakuna,viti na mrza hakuna still mnaambiwa elimu bure captation ya tangu 2016 wanafunzi 200 ndo hyohyo had 2021 wanafunzi 800...utopolo nyie jali watoto wenu wenzenu wao wako ulaya
 
Acha ujinga siasa haitamuandalia mwanao maisha yake.

Kalipe mwanao asikae sakafuni
 
Back
Top Bottom