Sasa elimu Bure ina maana gani?wananchi waambie hakuna elimu Bure wajiandae mapema,huku kuwarudisha watoto nyumbani kunawadhiri kisaikolojia Kama ingekuwa wazi hizo gharama wangejiandaa Ila makelele elimu Bure yaleta shidaAcha kupenda vya bure wewe, Mimi mwenyewe Kuna dogo nampeleka next week akaanze shule nimeambiwa nipeleke kiti na meza nimechukulia kawaida tu, Kama vipi mpeleke shule ya baba ako(yaani shule ya babu yake huyo mwanao) ambayo hakuna mchango hata kidogo. Mtoto umemzaa mwenyewe unapenda vya bure bure tu.
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app