Michango ya Gari Jipya la Tundu Lissu yazidi kusonga mbele, Vigogo waanza kutoa vitita vizito

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Mimi sitaki kusema mengi, jionee mwenyewe

Screenshot_2024-06-02-09-38-57-1.png
Pia soma:
 
Hivi kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliobakiza miezi michache na uchaguzi mkuu mwakani, CHADEMA hamna sera mpya za kutangaza mitandaoni zaidi ya hizi CHEAP politics za kuchangia gari la mtu mmoja ndani ya chama!?,hivi kwa ukubwa wa CDM hamuoni ni aibu na kejeli kushindwa kumnunulia Makamu mwenyekiti gari mpaka mchangishe ela mwezi mzima kutoka kwa wanyonge!??,.. haya ndio mambo huwa yanaonyesha hampo serious kabisa.
 
Wewe heavy and great politics zako ziko wapi?Au bado na wewe unawategemea haohao CHADEMA wakufurahishe?Lete politiki zako tuzione na uache kutegemea wenzako!
 
Hivi kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliobakiza miezi michache na uchaguzi mkuu mwakani, CHADEMA hamna sera mpya za kutangaza mitandaoni zaidi ya hizi CHEAP politics za kuchangia gari la mtu mmoja ndani ya chama!?,hivi kwa ukubwa wa CDM hamuoni ni aibu na kejeli kushindwa kumnunulia Makamu mwenyekiti gari mpaka mchangishe ela mwezi mzima kutoka kwa wanyonge!??,.. haya ndio mambo huwa yanaonyesha hampo serious kabisa.
Acha watu waonyeshe upendo wao na sio uchawa kama uliokuwa nao wewe, Na mikakati kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa hawawezi kukuwekea wewe wazi maana bado utaonyesha mawazo yako ya kijinga tu
 
Michango ya gari haichangishwi na Chadema bali Watu wenye Mapenzi mema kwa Mungu wa mbinguni

Yesu akasema " basi kwa kadri mlivyowatendea hawa mlinitendea Mimi"

Dominica Njema 😃
 
Hivi kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliobakiza miezi michache na uchaguzi mkuu mwakani, CHADEMA hamna sera mpya za kutangaza mitandaoni zaidi ya hizi CHEAP politics za kuchangia gari la mtu mmoja ndani ya chama!?,hivi kwa ukubwa wa CDM hamuoni ni aibu na kejeli kushindwa kumnunulia Makamu mwenyekiti gari mpaka mchangishe ela mwezi mzima kutoka kwa wanyonge!??,.. haya ndio mambo huwa yanaonyesha hampo serious kabisa.
Ni dhahiri hujakomaa kisiasa, hii michango ni ushirikishwaji wa umma, ni kampeni kabambe kuliko hicho unachokitaka.

Kwa mfano mimi binafsi ninaweza kumnunulia Lissu gari jipya kabisa (ninao uwezo huo), lakini nimechanga mil 3 tu, hii ni kwasababu tunafanya makusudi kushirikisha umma
 
Acha watu waonyeshe upendo wao na sio uchawa kama uliokuwa nao wewe, Na mikakati kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa hawawezi kukuwekea wewe wazi maana bado utaonyesha mawazo yako ya kijinga tu
Narudia chama kikuu cha upinzani kupitusha bakuli kuchangisha michango ya kununua gari la Makamu mwenyekiti wa chama ni AUBU. Hilo lingefanyika miaka ya 1995 ndo chama kina miaka 2 au 3 ya kuanzishwa ni sawa, sio baada ya miaka 30. Hivi hamlioni hilo!?,au kwasababu limeanzishwa na Lissu basi mnaona sawa na kukenua kama MAZUZU. Kama miaka za 30 ya uhai wa chama bado mnachangisha ela kumnunulia Makamu mwenyekiti wa chama gari, hamko SERIOUS. Mwenye akili atanielewa.
 
Hivi kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliobakiza miezi michache na uchaguzi mkuu mwakani, CHADEMA hamna sera mpya za kutangaza mitandaoni zaidi ya hizi CHEAP politics za kuchangia gari la mtu mmoja ndani ya chama!?,hivi kwa ukubwa wa CDM hamuoni ni aibu na kejeli kushindwa kumnunulia Makamu mwenyekiti gari mpaka mchangishe ela mwezi mzima kutoka kwa wanyonge!??,.. haya ndio mambo huwa yanaonyesha hampo serious kabisa.
Hela zitoke wapi? CCM wanaiba toka hazina. Chadema waibe kutoka wapi? Wewe ndiwe una ufikiri mdogo wa ku reason out issues in their right perspectives.

Unadhani chadema hka wazipate wapi?
 
Ni dhahiri hujakomaa kisiasa, hii michango ni ushirikishwaji wa umma, ni kampeni kabambe kuliko hicho unachokitaka.

Kwa mfano mimi binafsi ninaweza kumnunulia Lissu gari jipya kabisa (ninao uwezo huo), lakini nimechanga mil 3 tu, hii ni kwasababu tunafanya makusudi kushirikisha umma
Huna uwezo huo na nilishakwambia huko nyuma, unawaitaga watu maskini, kapuku humu, nikakwambia wewe ni mtu wa kawaida tu sema una ushamba fulani wa wale watu wanaokuwaga wamezungukwa na watu wa hali ya chini, basi kumiliki gari au nyumba mnajionaga tajiri. Niliwahi kukwambia hakuna tajiri, mwenye asili ya utajiri kwao anayemwitaga binadamu mwingine kapuku au maskini. Wewe una ela ya kubadilisha mboga tu. Ni mpiga debe wa Mbowe tu(CHAWA wake).

Kingine hakuna tajiri DUNIANI anayeshinda mitandaoni masaa 24 akipiga debe maswala ya kisiasa kichawa kama ufanyavyo wewe, hayupo. Matajiri wapo bize na mambo mengine ya msingi sio uchawa wa viongozi. Kwenye orodha ya matajiri hata wa eneo dogo kama Makambako au Njombe haupo. ONDOA hiyo mentality kichwani mwako watu hua wanakuchora tu humu, wanakuona limbukeni usiye na exposure yoyote. Messi na Ronaldo tuwaiteje kama we tajiri!?..
 
Huna uwezo huo na nilishakwambia huko nyuma, unawaitaga watu maskini, kapuku humu, nikakwambia wewe ni mtu wa kawaida tu sema una ushamba fulani wa wale watu wanaokuwaga wamezungukwa na watu wa hali ya chini, basi kumiliki gari au nyumba mnajionaga tajiri. Niliwahi kukwambia hakuna tajiri, mwenye asili ya utajiri kwao anayemwitaga binadamu mwingine kapuku au maskini. Wewe una ela ya kubadilisha mboga tu. Ni mpiga debe wa Mbowe tu(CHAWA wake). Kingine hakuna tajiri DUNIANI anayeshinda mitandaoni masaa 24 akipiga debe maswala ya kisiasa kichawa kama ufanyavyo wewe, hayupo. Matajiri wapo bize na mambo mengine ya msingi sio uchawa wa viongozi. Kwenye orodha ya matajiri hata wa eneo dogo kama Makambako au Njombe haupo. ONDOA hiyo mentality kichwani mwako watu hua wanakuchora tu humu, wanakuona limbukeni usiye na exposure yoyote. Messi na Ronaldo tuwaiteje kama we tajiri!?..
Weka paragraphs basi, uandishi gani huu. kata kabisa wewe
 
😆😆😆 Sasa nimekuelewa vizuri mno! yaani wewe hupingi michango ya gari la Lissu, huitaki tu Chadema na mambo yake baaasiii , mengine yote ni porojo tu.

Ila nataka uelewe kwamba Umasikini siyo sifa na wala utajiri si dhambi, na wala hakuna yeyote aliyeumbwa ili awe masikini
 
Back
Top Bottom