Michango ya Gari Jipya la Tundu Lissu yazidi kusonga mbele, Vigogo waanza kutoa vitita vizito

Michango ya Gari Jipya la Tundu Lissu yazidi kusonga mbele, Vigogo waanza kutoa vitita vizito

NASHAURI NI VYEMA TUKAWACHANGIA VIONGOZI WOTE WAANDAMIZI WA CHADEMA, MWENYEKITI, KAIMU WAKE, NA TOP LEADERS WOTE, TUSIBAGUE HAWA WOTE NI VIONGOZI WA CHAMA.
-Wekeni simu za mbowe hapa, tuanze kazi, chadema ni uzalendo, Wekeni namba za,
°Mwenyekiti, na wote, hapa!
 
NASHAURI NI VYEMA TUKAWACHANGIA VIONGOZI WOTE WAANDAMIZI WA CHADEMA, MWENYEKITI, KAIMU WAKE, NA TOP LEADERS WOTE, TUSIBAGUE HAWA WOTE NI VIONGOZI WA CHAMA.
-Wekeni simu za mbowe hapa, tuanze kazi, chadema ni uzalendo, Wekeni namba za,
°Mwenyekiti, na wote, hapa!
Kwani walipata matatizo?
 
Uzuri michango kama hii hata sisi wana CCM huwa tunachanga, ni vile tu hatuwezi kukiri mbele ya viongozi wetu.
 
MBWEMBWE ZA KUONGEZA HAMASA, QUI QUI QUI.
Ahadi yako tasafali ndugu Crocodileteeth,kwani Tz yetu sote na wenye nia njema na taifa hili ni wakuungu mkono kwa nguvu,ari hamasa na kila aina ya uwezeshaji ili kazi yao nzuri isonge mbele kama alivyo mwamba TAL🤔
 
Haya ungemwambia Mbowe anayetafuna tu hela za Ruzuku!!
Mbowe kawakosea nini lakini? Mbona watu hawachoki kuntaja Mbowe, Lissu CHADEMA? Tanzania ina wanasiasa wengi tu wa upinzani. Na wao wanastahili kutajwatajwa.
 
Huna uwezo huo na nilishakwambia huko nyuma, unawaitaga watu maskini, kapuku humu, nikakwambia wewe ni mtu wa kawaida tu sema una ushamba fulani wa wale watu wanaokuwaga wamezungukwa na watu wa hali ya chini, basi kumiliki gari au nyumba mnajionaga tajiri. Niliwahi kukwambia hakuna tajiri, mwenye asili ya utajiri kwao anayemwitaga binadamu mwingine kapuku au maskini. Wewe una ela ya kubadilisha mboga tu. Ni mpiga debe wa Mbowe tu(CHAWA wake).

Kingine hakuna tajiri DUNIANI anayeshinda mitandaoni masaa 24 akipiga debe maswala ya kisiasa kichawa kama ufanyavyo wewe, hayupo. Matajiri wapo bize na mambo mengine ya msingi sio uchawa wa viongozi. Kwenye orodha ya matajiri hata wa eneo dogo kama Makambako au Njombe haupo. ONDOA hiyo mentality kichwani mwako watu hua wanakuchora tu humu, wanakuona limbukeni usiye na exposure yoyote. Messi na Ronaldo tuwaiteje kama we tajiri!?..
Hivi kati ya Messi Ronaldo na Mo nani tajiri zaidi.
 
Kwa vile gari lina comprehensive insurance class one, nachangia mawazo kwamba fungua madai insurance wacha kuchangisha masikini. Zipo fedha za mafao, rainbow, Ujerumani, Ubeligiji na wafadhili hazitoshi?
Naunga hoja
 
🤣🤣🤣na bado mnamchangia mchuuzi wenu
 

Attachments

  • IMG_7506.jpeg
    IMG_7506.jpeg
    351.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom