Michango ya Gari Jipya la Tundu Lissu yazidi kusonga mbele, Vigogo waanza kutoa vitita vizito

Hivi kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliobakiza miezi michache na uchaguzi mkuu mwakani, CHADEMA hamna sera mpya za kutangaza mitandaoni zaidi ya hizi CHEAP politics za kuchangia gari la mtu mmoja ndani ya chama!?,hivi kwa ukubwa wa CDM hamuoni ni aibu na kejeli kushindwa kumnunulia Makamu mwenyekiti gari mpaka mchangishe ela mwezi mzima kutoka kwa wanyonge!??,.. haya ndio mambo huwa yanaonyesha hampo serious kabisa.
Uchaguzi gani boss, Tanzania hakuna uchaguzi Bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Hivi kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliobakiza miezi michache na uchaguzi mkuu mwakani, CHADEMA hamna sera mpya za kutangaza mitandaoni zaidi ya hizi CHEAP politics za kuchangia gari la mtu mmoja ndani ya chama!?,hivi kwa ukubwa wa CDM hamuoni ni aibu na kejeli kushindwa kumnunulia Makamu mwenyekiti gari mpaka mchangishe ela mwezi mzima kutoka kwa wanyonge!??,.. haya ndio mambo huwa yanaonyesha hampo serious kabisa.
Haya ungemwambia Mbowe anayetafuna tu hela za Ruzuku!!
 
Back
Top Bottom