Lema kaahidi milioni 5, kigogo bilionea mbowe kaahidi/kachanga milioni ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lema kaahidi milioni 5, kigogo bilionea mbowe kaahidi/kachanga milioni ngapi?
CCM mna akili za kifisadi sana..... sasa ulitaka watumie hela za chama kumnunulia mmkiti gari? Ndio unaona ingekuwa matumizi bora hayo???Narudia chama kikuu cha upinzani kupitusha bakuli kuchangisha michango ya kununua gari la Makamu mwenyekiti wa chama ni AUBU. Hilo lingefanyika miaka ya 1995 ndo chama kina miaka 2 au 3 ya kuanzishwa ni sawa, sio baada ya miaka 30. Hivi hamlioni hilo!?,au kwasababu limeanzishwa na Lissu basi mnaona sawa na kukenua kama MAZUZU. Kama miaka za 30 ya uhai wa chama bado mnachangisha ela kumnunulia Makamu mwenyekiti wa chama gari, hamko SERIOUS. Mwenye akili atanielewa.
Nabii tokea lini akatoa kwa kutegemea FADHILA?!😂😂😂
Anajiandalia Uwaziri huko mbele😃
Cheap politics halafu wanataka kutawala nchi hii. HAIWEZEKANI!!!Hivi kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliobakiza miezi michache na uchaguzi mkuu mwakani, CHADEMA hamna sera mpya za kutangaza mitandaoni zaidi ya hizi CHEAP politics za kuchangia gari la mtu mmoja ndani ya chama!?,hivi kwa ukubwa wa CDM hamuoni ni aibu na kejeli kushindwa kumnunulia Makamu mwenyekiti gari mpaka mchangishe ela mwezi mzima kutoka kwa wanyonge!??,.. haya ndio mambo huwa yanaonyesha hampo serious kabisa.
Zuzu wa Lumumba kwani wewe hufurahii sera za chama cko cha mambuzi hadi uzi5ake za CHADEMA!?. 😂Hivi kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliobakiza miezi michache na uchaguzi mkuu mwakani, CHADEMA hamna sera mpya za kutangaza mitandaoni zaidi ya hizi CHEAP politics za kuchangia gari la mtu mmoja ndani ya chama!?,hivi kwa ukubwa wa CDM hamuoni ni aibu na kejeli kushindwa kumnunulia Makamu mwenyekiti gari mpaka mchangishe ela mwezi mzima kutoka kwa wanyonge!??,.. haya ndio mambo huwa yanaonyesha hampo serious kabisa.
Wewe kula yako ya kuunga unga huna uwezo wa kuchangia na hakuna aliyekuletea fomu ya mchango.Kwa vile gari lina comprehensive insurance class one, nachangia mawazo kwamba fungua madai insurance wacha kuchangisha masikini. Zipo fedha za mafao, rainbow, Ujerumani, Ubeligiji na wafadhili hazitoshi?
Ila walimwengu ni noma sana. Chadema wangemnunulia gari..mngewachamba kwamba wakubwa wanapendeleana kwa kununuliana magari ya kifahari. Moto ungewaka! Wameamua kutumia grassroot approach…mnawashukia.Hivi kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliobakiza miezi michache na uchaguzi mkuu mwakani, CHADEMA hamna sera mpya za kutangaza mitandaoni zaidi ya hizi CHEAP politics za kuchangia gari la mtu mmoja ndani ya chama!?,hivi kwa ukubwa wa CDM hamuoni ni aibu na kejeli kushindwa kumnunulia Makamu mwenyekiti gari mpaka mchangishe ela mwezi mzima kutoka kwa wanyonge!??,.. haya ndio mambo huwa yanaonyesha hampo serious kabisa.
Narudia chama kikuu cha upinzani kupitusha bakuli kuchangisha michango ya kununua gari la Makamu mwenyekiti wa chama ni AUBU. Hilo lingefanyika miaka ya 1995 ndo chama kina miaka 2 au 3 ya kuanzishwa ni sawa, sio baada ya miaka 30. Hivi hamlioni hilo!?,au kwasababu limeanzishwa na Lissu basi mnaona sawa na kukenua kama MAZUZU. Kama miaka za 30 ya uhai wa chama bado mnachangisha ela kumnunulia Makamu mwenyekiti wa chama gari, hamko SERIOUS. Mwenye akili atanielewa.
Mkuu pole sana kwa kufundisha hawa wajinga..hujasikia DONALD TRUMP anachangisha wananchi kwa ajili ya makesi yake na kampeni?
..Je, unajua chama cha Republican kina miaka mingapi tangu kianzishwe?
..Chama na harakati za kisiasa zinapaswa kugharamiwa na wananchi wenyewe kwa kujitolea fedha, muda, na maarifa.
..Ccm imeharibu fikra na mitizamo ya vijana wetu ndio maana umekuja na hoja kama hii. Sio kosa lako.
HayaNina buku 3 yangu hapa, ila sichangii, ngoja nikanunue yogurt, niwe nakunywa huku natizama wachangiaje.
Acha wivu,mbona hapo kijani uzinduzi wa choo tu ni tatizo anashukuriwa mtu kwa uwezeshaji🤔Si amchangie tu matangazo ya nini nae rushwa walizochukua wanastahili bila kelele!
Sera ni nini na zinatumika wapi?Hivi kuelekea kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa uliobakiza miezi michache na uchaguzi mkuu mwakani, CHADEMA hamna sera mpya za kutangaza mitandaoni zaidi ya hizi CHEAP politics za kuchangia gari la mtu mmoja ndani ya chama!?,hivi kwa ukubwa wa CDM hamuoni ni aibu na kejeli kushindwa kumnunulia Makamu mwenyekiti gari mpaka mchangishe ela mwezi mzima kutoka kwa wanyonge!??,.. haya ndio mambo huwa yanaonyesha hampo serious kabisa.
MBWEMBWE ZA KUONGEZA HAMASA, QUI QUI QUI.
Tuliza mshono, kitu cha Dukani kinakuja, Double Armored Plate hata huyo Mkuu wenu wa Mkoa akija na Wasiojulikana wake na Mabunduki safari hii Risasi haziingii.MBWEMBWE ZA KUONGEZA HAMASA, QUI QUI QUI.