Michango ya Gari Jipya la Tundu Lissu yazidi kusonga mbele, Vigogo waanza kutoa vitita vizito

CCM mna akili za kifisadi sana..... sasa ulitaka watumie hela za chama kumnunulia mmkiti gari? Ndio unaona ingekuwa matumizi bora hayo???
Na kama ingefanyika hivyo mngekuwa wa kwanza kuruka hewani na lawama za ufisadi ndani ya CDM, viongozi watumia mamilioni kujinunulia magari.....
 
Kwa vile gari lina comprehensive insurance class one, nachangia mawazo kwamba fungua madai insurance wacha kuchangisha masikini. Zipo fedha za mafao, rainbow, Ujerumani, Ubeligiji na wafadhili hazitoshi?
 
Cheap politics halafu wanataka kutawala nchi hii. HAIWEZEKANI!!!
 
We
Zuzu wa Lumumba kwani wewe hufurahii sera za chama cko cha mambuzi hadi uzi5ake za CHADEMA!?. 😂
 
Kwa vile gari lina comprehensive insurance class one, nachangia mawazo kwamba fungua madai insurance wacha kuchangisha masikini. Zipo fedha za mafao, rainbow, Ujerumani, Ubeligiji na wafadhili hazitoshi?
Wewe kula yako ya kuunga unga huna uwezo wa kuchangia na hakuna aliyekuletea fomu ya mchango.
 
Ila walimwengu ni noma sana. Chadema wangemnunulia gari..mngewachamba kwamba wakubwa wanapendeleana kwa kununuliana magari ya kifahari. Moto ungewaka! Wameamua kutumia grassroot approach…mnawashukia.

Dunia ni ngumu sana ukitaka kumridhisha kila mtu.
 

..hujasikia DONALD TRUMP anachangisha wananchi kwa ajili ya makesi yake na kampeni?

..Je, unajua chama cha Republican kina miaka mingapi tangu kianzishwe?

..Chama na harakati za kisiasa zinapaswa kugharamiwa na wananchi wenyewe kwa kujitolea fedha, muda, na maarifa.

..Ccm imeharibu fikra na mitizamo ya vijana wetu ndio maana umekuja na hoja kama hii. Sio kosa lako.
 
Mkuu pole sana kwa kufundisha hawa wajinga
 
Nina buku 3 yangu hapa, ila sichangii, ngoja nikanunue yogurt, niwe nakunywa huku natizama wachangiaje.
 
Sera ni nini na zinatumika wapi?
Jibu kama una akili.
 
MBWEMBWE ZA KUONGEZA HAMASA, QUI QUI QUI.
Tuliza mshono, kitu cha Dukani kinakuja, Double Armored Plate hata huyo Mkuu wenu wa Mkoa akija na Wasiojulikana wake na Mabunduki safari hii Risasi haziingii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…