Michango ya Gari Jipya la Tundu Lissu yazidi kusonga mbele, Vigogo waanza kutoa vitita vizito

NASHAURI NI VYEMA TUKAWACHANGIA VIONGOZI WOTE WAANDAMIZI WA CHADEMA, MWENYEKITI, KAIMU WAKE, NA TOP LEADERS WOTE, TUSIBAGUE HAWA WOTE NI VIONGOZI WA CHAMA.
-Wekeni simu za mbowe hapa, tuanze kazi, chadema ni uzalendo, Wekeni namba za,
°Mwenyekiti, na wote, hapa!
 
Kwani walipata matatizo?
 
Uzuri michango kama hii hata sisi wana CCM huwa tunachanga, ni vile tu hatuwezi kukiri mbele ya viongozi wetu.
 
MBWEMBWE ZA KUONGEZA HAMASA, QUI QUI QUI.
Ahadi yako tasafali ndugu Crocodileteeth,kwani Tz yetu sote na wenye nia njema na taifa hili ni wakuungu mkono kwa nguvu,ari hamasa na kila aina ya uwezeshaji ili kazi yao nzuri isonge mbele kama alivyo mwamba TAL🤔
 
Haya ungemwambia Mbowe anayetafuna tu hela za Ruzuku!!
Mbowe kawakosea nini lakini? Mbona watu hawachoki kuntaja Mbowe, Lissu CHADEMA? Tanzania ina wanasiasa wengi tu wa upinzani. Na wao wanastahili kutajwatajwa.
 
Hivi kati ya Messi Ronaldo na Mo nani tajiri zaidi.
 
Kwa vile gari lina comprehensive insurance class one, nachangia mawazo kwamba fungua madai insurance wacha kuchangisha masikini. Zipo fedha za mafao, rainbow, Ujerumani, Ubeligiji na wafadhili hazitoshi?
Naunga hoja
 
🤣🤣🤣na bado mnamchangia mchuuzi wenu
 

Attachments

  • IMG_7506.jpeg
    351.9 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…