Michango ya harusi ni mzigo kuliko Ada ya shule

Nina jirani yangu alikuwa akiishi uchumba sugu na nyumba yake imejengwa bila finishing kahamia kitambo,kaamua kubariki ndoa baada ya harusi kuisha huwezi kuitambua Tena Ile nyumba Hadi kazungushia ukuta na rangi keshapaka na geti la kibabe!Hatari Sana
 
Why are we trying so hard to blend in while we were born to stand out?

Watu wa tofauti katoka jamii ndio huwa wanaibadilisha jamiii mkuu, usijilazimishe kufanana
 
Kwamba alitumia nichangie ya harusi?
 
Kuna mmoja katuunga Kwenye group afu yeye kajiweka wakwanza amejitolea 2m hahah ili tu watu watoe kubwa,tulikua tunamchek tu mwisho wa siku tukatoa kiwango cha card,mtu ukitaka kuoa uwe umejipanga sio kutegemea michango ya watu mambo magumu siku izi, kad single 100k haha tena unavyodaiwa kama ulimkopa.
 
Upande mwingine ss
Hii kuingia ukumbini maharusi wanakatika mauno ishakua staili sijui imetokea wap 😀😀😀😀 mbwembwe kibao
 
We sherehe zote 10 unakuwa mwanakamati? Inamaana ni watu wa karibu sana so jitahidi tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ww sherehe zote hizo ni mwanakamati? Huo ni ujinga wako mwenyewe wa kujitakia pambana nao
 
Nadhani wa kupambana na umasikini ni yule anayeomba mchango, matajiri hawana swaga hizo [emoji3]
 
Ndo maana tunataka kila mtu apambane na umasikini wake, sio sherehe zako ziwe kero kwa wengine. Umepanga kufanya harusi ya million 50 basi hakikisha benki una hizo 50m, kama huna pesa fanya harusi unayoweza kuimudu.
 
wapi nimesema ni ukristo ndiyo maagizo? wapi? Nimesema unaish katika jumuiya ya kkristo by 90% utakwendaje kinyume na wanachofanya as a social being? Kwaheri!
Hahahahahahaha labda kwwenu huko.

Majority ya watu wa kwetu Pwani ni Waislam, ukimuona Mkristo ni wakuja tu.

Umeambiwa lete ushahidi unapotezea. Hakuna mila hizo katika Ukristo, usitake kudanganya watu.
 
We sherehe zote 10 unakuwa mwanakamati? Inamaana ni watu wa karibu sana so jitahidi tu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kuna watu waongo Sana, kuwa mwanakamati harusi zote ni ngumu labda kama Hana kazi
 
Sherehe nzuri ni MTU kuiandaa halafu unawakaribisha watu kuja kula na kunywa. Kama wana zawadi unapewa kama hakuna munaagana kwa amani. Hii ya namna hii naona INA baraka sana kuliko ile ya kulipia ambayo naona inaleta ubaguzi na chuki bure. Watu wafanye kwa kiasi kidogo sio kunia makubwa yanayosababisha wengine kuumia pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…