Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Huwa najiuliza mtu anayetaka kuoa halafu hajajipanga anategemea michango ili afanikishe harusi yake ,ni upuuzi.Vijana wa kisasa, anasoma chuo , akifika mtaani anataka kuoa, hapo hajapata kazi, annaza kusumbua watu wote wa phone boook yke. Kijana huyo , anataka harusi sawa na mtoto wa GSM, anaishia kupata sress na kugombana na ndugu, swali, je hawa vijana wanastahili kulaimisha kadi za double?
Michango ya harusi imekuwa mada yenye mjadala mkubwa, ambapo viwango vya Tsh 150,000 kwa mtu mmoja (single) na Tsh 200,000 kwa wawili (double) vinaonekana vimekaa vizuri kiuchumi. Kiwango hiki kinasaidia sana kufidia gharama halisi za ukumbi, mapambo, na chakula bora kwenye sherehe za kisasa, huku kikiwapunguzia mzigo mkubwa waandaji.
Hata hivyo, ili kuondoa manung'uniko, ni muhimu kadi hizi zitolewe kwa kuzingatia uwezo wa kiuchumi wa waalikwa na ukaribu wao na maharusi, kwani kwa baadhi ya watu kiwango cha single kinaweza kuwa kikubwa kikilinganishwa na kile cha double.
Kuhusu suala la kula mpaka hela iishe na kubeba vyakula, utaratibu huo hauwezekani na unakinzana na maadili pamoja na maana halisi ya mchango wa harusi. Mchango wa harusi si malipo ya kununua chakula kama mgahawani, bali ni sadaka na zawadi ya upendo kwa ajili ya kufanikisha mwanzo mpya wa maisha ya wanandoa. Kwenye sherehe, chakula huandaliwa kwa kiwango maalumu cha kutosha kila mgeni aliyepo, hivyo kitendo cha mtu mmoja kula kupita kiasi au kufungasha vyakula vya kubeba (takeaway) huwanyima wengine haki yao na kuleta usumbufu mkubwa kwa waandaaji.
Nasema hivi, mimi nikiwa na akili timamu SICHANGII NDOA YA MTU,Vijana wa kisasa, anasoma chuo , akifika mtaani anataka kuoa, hapo hajapata kazi, annaza kusumbua watu wote wa phone boook yke. Kijana huyo , anataka harusi sawa na mtoto wa GSM, anaishia kupata sress na kugombana na ndugu, swali, je hawa vijana wanastahili kulaimisha kadi za double?
Michango ya harusi imekuwa mada yenye mjadala mkubwa, ambapo viwango vya Tsh 150,000 kwa mtu mmoja (single) na Tsh 200,000 kwa wawili (double) vinaonekana vimekaa vizuri kiuchumi. Kiwango hiki kinasaidia sana kufidia gharama halisi za ukumbi, mapambo, na chakula bora kwenye sherehe za kisasa, huku kikiwapunguzia mzigo mkubwa waandaji.
Hata hivyo, ili kuondoa manung'uniko, ni muhimu kadi hizi zitolewe kwa kuzingatia uwezo wa kiuchumi wa waalikwa na ukaribu wao na maharusi, kwani kwa baadhi ya watu kiwango cha single kinaweza kuwa kikubwa kikilinganishwa na kile cha double.
Kuhusu suala la kula mpaka hela iishe na kubeba vyakula, utaratibu huo hauwezekani na unakinzana na maadili pamoja na maana halisi ya mchango wa harusi. Mchango wa harusi si malipo ya kununua chakula kama mgahawani, bali ni sadaka na zawadi ya upendo kwa ajili ya kufanikisha mwanzo mpya wa maisha ya wanandoa. Kwenye sherehe, chakula huandaliwa kwa kiwango maalumu cha kutosha kila mgeni aliyepo, hivyo kitendo cha mtu mmoja kula kupita kiasi au kufungasha vyakula vya kubeba (takeaway) huwanyima wengine haki yao na kuleta usumbufu mkubwa kwa waandaaji.
Hahahahaaa watu wamebuni chanzo cha mapato kingine...Mimi natoa mchango wa msiba, kuumwa na ada tu
Mchango wa kuchangia watu kwenda kuhalalisha sexual intercourse kwa misingi ya dini za kuletewa sitoi hata mia
Adam na Hawa nani aliwafungisha ndoa?
Unaotaga ya Single?Acha waumie Kwa sababu ni wajinga,Mimi Huwa sitoi hata unikumbushe mara 100
Daah, hata room mate wako wa chuo huchangi?Huu upumbavu sifanyi.
Wewe mtu anapanga harusi ya milioni 50 na honeymoon Dubai, kisha anategemea marafiki ndio wachange hiyo fedha, daah!Acha waumie Kwa sababu ni wajinga,Mimi Huwa sitoi hata unikumbushe mara 100
Bila kuacha kuchanga huu ujinga hautakoma.Wewe mtu anapanga harusi ya milioni 50 na honeymoon Dubai, kisha anategemea marafiki ndio wachange hiyo fedha, daah!
anaanza kuwapostia akila bata na kununua vitu vya gharma huko dubai.
Ni nn hiyo uzenge..Hayo mamichango ya harusi sijui maujinga gani sitoi pesa yangu yaaan !
Msiba, ugonjwa ndo nachangia tu !
Starehe yako uje usumbue watu, mtu eti kisa mmesoma wote, mmepotezana 10+yrs anakuadd kwenye grp anataka mchango..... ujinga huu
Hii ndio michango tuombwe pamoja na madawati ya Watoto sio ujinga mwingineMimi natoa mchango wa msiba, kuumwa na ada tu
Mchango wa kuchangia watu kwenda kuhalalisha sexual intercourse kwa misingi ya dini za kuletewa sitoi hata mia
Adam na Hawa nani aliwafungisha ndoa?
Kabsa sio upumbavu wa harusHii ndio michango tuombwe pamoja na madawati ya Watoto sio ujinga mwingine
Sichangi, nitampelekea zawadi nzuri kabisa kabla ya harusiDaah, hata room mate wako wa chuo huchangi?
Kalaki untuma ukiwa umefunga macho.