Zero Star
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 4,287
- 8,707
Haiwezekani mtu umelala unaamka unakutwa ushaungwa kwwnye magroup whatp tena magroup zaidi ya 2....
Na watu washajipa muongozo kabisa kianzio 100,000.... Unaangalia yale majina yapo kama 200 hivi....sijui ahadi sijui huyu kamaliza bra bra bra
Tunachoreshana tu....kuna wengine wagumu hawatoi... Kuna wale wa aibu pangu pakavu ndo wanatoa kwa manung'uniko na maneno kibao na ndo laana na mikosi inaanzia apa.
Hivi kweli kijana au bint huoni aibu kuanika limkeka watu wakuchangie ili uoe au uolewe.......
Na kuna watu walioa hata hawajawai kukuomba ata mia.... Leo uso mkavu unamuadd kwenye mkeka.
Mwisho pesa zimefungamana na nguvu nyingi sanaa...vijana muangalie namna mnavyozichangisha.