Miguel Felix Gallardo
JF-Expert Member
- Aug 17, 2024
- 2,841
- 5,218
📌KATAA KUCHANGIA UPUUZI,TUNZA KIBUNDA CHAKO!!!
Sasa mkuu ndo mtupangie tuwachangie kuanzia kiasi fulani.....aaghHakuna mwanandoa aliyetajirika kwa michango yenu ya harusi mnayotoa kwa malalamiko.
Kataa roho ya kulalamika hovyo
Kataa roho ya umaskini
Uzuri hakuna aliyewahi kufanya jambo la maana sana kiuchumi kwa sababu hakutoa mchango wa harusi.Sasa mkuu ndo mtupangie tuwachangie kuanzia kiasi fulani.....aagh
Na watu wanatajirika mkuu sema hujabahatika kuwa kwenye hzo kamati
Ndo sio emergency issues......kila mtu abebe mzigo wake