Mbona unakandia watu wasichangishane au kwakuwa tumeshakuchangia yako yashapita kwaiyo tukikupa kadi zetu unaona kama unatoa hela bure unasahau tulivyo kuchangiaHaiwezekani mtu umelala unaamka unakutwa ushaungwa kwwnye magroup whatp tena magroup zaidi ya 2....
Na watu washajipa muongozo kabisa kianzio 100,000.... Unaangalia yale majina yapo kama 200 hivi....sijui ahadi sijui huyu kamaliza bra bra bra
Tunachoreshana tu....kuna wengine wagumu hawatoi... Kuna wale wa aibu pangu pakavu ndo wanatoa kwa manung'uniko na maneno kibao na ndo laana na mikosi inaanzia apa.
Hivi kweli kijana au bint huoni aibu kuanika limkeka watu wakuchangie ili uoe au uolewe.......
Na kuna watu walioa hata hawajawai kukuomba ata mia.... Leo uso mkavu unamuadd kwenye mkeka.
Mwisho pesa zimefungamana na nguvu nyingi sanaa...vijana muangalie namna mnavyozichangisha.
Changamoto zaoAfu wakiachana hawasemi wala hawaitishi group
Tatizo leo hii masuala ya harusi mnayafanya watu wawaone matokeo yake harusi inaisha una madeni lukuki na umeshawachukia watu kisa hawakuchanga harusi zinakuwa na mbwembwe nyiingi zisizokuwa na maanaMbona unakandia watu wasichangishane au kwakuwa tumeshakuchangia yako yashapita kwaiyo tukikupa kadi zetu unaona kama unatoa hela bure unasahau tulivyo kuchangia
Mimi nilvyo oa ata baadhi ya ndugu hawakujua na kuna ndugu na jamaa zangu hawajui adi leo kama nmeoa...Mbona unakandia watu wasichangishane au kwakuwa tumeshakuchangia yako yashapita kwaiyo tukikupa kadi zetu unaona kama unatoa hela bure unasahau tulivyo kuchangia
Ndoa za leo hii tunaweka mpaka mc wa kukodi enzi zetu anatafutwa mwalimu anakabidhiwa hilo jukumu na ataendesha hiyo shughuli na mambo yalienda vizuri tu, leo hii tunashuhudia mpaka vikundi vya kucheza vinatengewa bajeti kwa hela za michango sasa wewe unataka mambo mazuri kwa KutegemeaMimi nilvyo oa ata baadhi ya ndugu hawakujua na kuna ndugu na jamaa zangu hawajui adi leo kama nmeoa...
Maids wa kukodi, halafu wapo kwenye madaraja,.wale high class kuwapata inabidi utoe mkwanja mrefu halafu unakuta bibi harusi ndo anawataka hao. Bado MCs pia wapo kwenye madaraja, wale maarufu wanatoza mkwanja mrefu๐๐๐.Sio poaaaaaNdoa za leo hii tunaweka mpaka mc wa kukodi enzi zetu anatafutwa mwalimu anakabidhiwa hilo jukumu na ataendesha hiyo shughuli na mambo yalienda vizuri tu, leo hii tunashuhudia mpaka vikundi vya kucheza vinatengewa bajeti kwa hela za michango sasa wewe unataka mambo mazuri kwa Kutegemea
Mifuko ya watu hii hapana
Wahusika ndiyo wanafanya mambo kuwa magumu kwa kutaka kuwaonyesha wageni waalikwaMaids wa kukodi, halafu wapo kwenye madaraja,.wale high class kuwapata inabidi utoe mkwanja mrefu halafu unakuta bibi harusi ndo anawataka hao. Bado MCs pia wapo kwenye madaraja, wale maarufu wanatoza mkwanja mrefu๐๐๐.Sio poaaaaa
Tufunge thread hii kwa hoja namba 5 mkuuMichango ya harusi yenyewe si chanzo cha mikosi au laana kwenye ndoa. Tatizo linaweza kutokea pale michango inapogeuka kuwa;-
1. Madeni makubwa ili kufanikisha harusi ya siku moja.
2. Mashindano na kujionyesha, badala ya kuanza maisha kwa uwezo halisi.
3. Presha kutoka kwa ndugu na marafiki kwamba harusi lazima iwe kubwa.
4. Wanandoa kuanza maisha wakiwa na mzigo wa kifedha na migogoro.
5. Mmoja au wote kuamini kwamba thamani ya ndoa inapimwa na ukubwa wa sherehe.
Watu wakichanga kwa hiari na bila kulazimisha, halafu wanandoa wakafanya sherehe kulingana na uwezo wao, hakuna msingi wa kusema michango hiyo inaleta laana.
Wenzetu walioendelea haya mambo ya michango mbona hawana....Umaskini mbaya sana.
Umaskini unakufanya unakuwa na hasira.
Muumba atufanyie wepesi kwenye shughuli zetu za kiuchumi.
Kutoa michango haipaswi kuwa debate, hiyo yote ni kutokana na uwezo mdogo kiuchumi.
Hakuna mwanandoa aliyetajirika kwa michango yenu ya harusi mnayotoa kwa malalamiko.Wenzetu walioendelea haya mambo ya michango mbona hawana....
Mtu anataka atajirike kwa michango