Miguel Felix Gallardo JF-Expert Member Joined Aug 17, 2024 Posts 2,841 Reaction score 5,218 Aug 9, 2026 #21 📌KATAA KUCHANGIA UPUUZI,TUNZA KIBUNDA CHAKO!!!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Aug 9, 2026 #22 Pole sana... Cc: Mahondaw
Zero Star JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 4,287 Reaction score 8,707 Aug 9, 2026 Thread starter #23 MTAMBUCA said: Hakuna mwanandoa aliyetajirika kwa michango yenu ya harusi mnayotoa kwa malalamiko. Kataa roho ya kulalamika hovyo Kataa roho ya umaskini Click to expand... Sasa mkuu ndo mtupangie tuwachangie kuanzia kiasi fulani.....aagh Na watu wanatajirika mkuu sema hujabahatika kuwa kwenye hzo kamati Ndo sio emergency issues......kila mtu abebe mzigo wake
MTAMBUCA said: Hakuna mwanandoa aliyetajirika kwa michango yenu ya harusi mnayotoa kwa malalamiko. Kataa roho ya kulalamika hovyo Kataa roho ya umaskini Click to expand... Sasa mkuu ndo mtupangie tuwachangie kuanzia kiasi fulani.....aagh Na watu wanatajirika mkuu sema hujabahatika kuwa kwenye hzo kamati Ndo sio emergency issues......kila mtu abebe mzigo wake
M Mwangazza JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 34,153 Reaction score 51,777 Aug 9, 2026 #24 Zero Star said: Sasa mkuu ndo mtupangie tuwachangie kuanzia kiasi fulani.....aagh Na watu wanatajirika mkuu sema hujabahatika kuwa kwenye hzo kamati Ndo sio emergency issues......kila mtu abebe mzigo wake Click to expand... Uzuri hakuna aliyewahi kufanya jambo la maana sana kiuchumi kwa sababu hakutoa mchango wa harusi. So the choice is yours, ukichangia fresh na usipochangia fresh.
Zero Star said: Sasa mkuu ndo mtupangie tuwachangie kuanzia kiasi fulani.....aagh Na watu wanatajirika mkuu sema hujabahatika kuwa kwenye hzo kamati Ndo sio emergency issues......kila mtu abebe mzigo wake Click to expand... Uzuri hakuna aliyewahi kufanya jambo la maana sana kiuchumi kwa sababu hakutoa mchango wa harusi. So the choice is yours, ukichangia fresh na usipochangia fresh.