Hapo mkuu nimekupata, ni kweli Hip Hop iko poa/Dah napenda sana Hip Hop flow ni kali homie [emoji91]mm ni mshabiki tu mzee siunajua kunadika tu hiyo mistari ni talanta wengine tumeumbwa kushabikia tu. [emoji22]
oiii mwana nimeingia, wito wako kuusikiaKwanza nawapa salamu, nazingatia itifaki/
Nadhani Mvumbo mnamfahamu, kwenye mistari mimi ndiye chaki/
Naandika zaidi ya kalamu, mwana Hip hop kindaki ndaki/
Ma mc's wa Jamii Forum, karibuni nyuma msibaki/
Leo mitandaoni ukisema usome, habari zimejaa ukakasi/
Huku Kiba anasema UNIKOME, huku Idriss akaripoti Polisi/
Huku Kigwa kavunja ngome, Le M'bebez kapiga pasi/
Haya yasikufanye ulale ukorome, pambana watoto wasile nyasi.
Ngumu kumezaa
Akhsante mwana kwa kuja, nathamini wako uwezo/oiii mwana nimeingia, wito wako kuusikia
salam napkea na gwala nakugea,
naona verse yako1 wabana pua wamekimbia,
Rusha mawe hewani, weka bitini ukumbini
uone wanyama wanavyo inuka toka chini.
Piga chini Chibu kiba wakala wa shetani, wadau wa vilingeni,
kutwa kutumia majini, ili waendelee kutamba mjini
NGoja nkumegee jambo nafanya hapa, boya hawezi elewa lazima atoke kapa,
niko nyuma ya keyboard napiga na kugonga code,
Dunia ina code utataka zipigie HODI
Babe wangu huyoo, uko vizuri kila sekta nitaki nini tena, nnachotaka napata!Ngumu kumeza si zamoto, ila laini wang mamito/
Karibu jamvini bebito, nikupe kiss za upendo/
Leo hata zaidi ya kesho, hata family iwe special/
Asante wang financial, kwa penzi lako zito/
Services balaa zako, kitandani feni UNO/
Mashallah we mtoto, pia huna mfano/
Nitakupenda kaa kichaa, ila langu we tulizo/
Nipo najifunza kwako mkuu ,soon ntaanza kuchana piaKaribu karibu, nakushukuru kujitokeza/
Japo hujataka kujaribu, unaona ngumu kumeza/
Natamani niwashe moto, ila goto ni sawa na kuvunja mayai/Flow za kitoto bado magasho wamechochora/
Ma mc tunakuchora na izo style za kikora/
Tunakulock ka Jesus na u_king tunapora/
usijaribu kupima huu ni moto wa kombora
Ya gundu ndo nishatua/
Machoko wamefua/
Wanajua/
Nisipo kill napasua/
K mnato natanua/
Rinda natatua/
Ile kiganster kila kitu nakamua
Maneno yako ya busara, hakika jamii umeipa somo/Mistari inaririka kichwani/
Iwaingie kwenu maskioni/
Nitakayonena muyatilie maanani/
Mi ndiye wenu fanani/
Mambo yamebadilika sio kama zamani/
Sasa hivi kwenye shida hata ndugu huwaoni/
Wengine watakupita bila soni/
Watajifanya hawakuoni/
Usife moyo zidi kupambana/
Usimsahau wako maulana/
Ukipata zidisha sala sana/
Azidi kukujali zake nyingi baraka/
Shukran kutega sikio,ujaliwe heri na fanaka.
The Gt/ umeandika sahihi/ na si tuu umewasihi/ bali ni kama unabii/ wanapaswa kutii/ haswa watoto wa karne hii/ naamini ukiongeza bidii/ itakuelewa jamii/ na kufikia level hii/Life ni kubattle/na usiogope kuishi gheto/ogopa watoto warito/ufunge ndoa na punyeto/usijeishia kula msoto/usijifanye we mnato/na usiogope changamoto/ujana maji ya moto/piga kazi isiwe majuto.
Ni kweli hujasema uongo/ hizi ladha ngumu kama gongo/ watoto wanaziona sifongo/ na wakijaribu wanatema nyongo/ nikighani nawashtua ka' vumbi la Kongo/dah mmenishinda tabia, naona mmemaliza kila kitu/
nimefungua uzi kichwakichwa, ghafla nkakutana na vitu vigumu/
ngoja nmfikishie wife nyanya, nirudi kulisukuma hili gurudumu/